Sugu na RUGE

KANAN

Senior Member
Aug 20, 2011
124
39
jamani wanajamii wenzang naomba kujua kwa yeyote anayefahamu chanzo cha mgogoro wa Ruge Mtahaba na Joeseph Mbilinyi .ak.a sugu ulianzia wapi na je hauna suruhisho.
 
naomba maana ya neno suruhisho'kwani kabla hujatuma post huwezi kusoma na ku edit?
 
Ruge anataka kuwa MUnGU wa music industry hapa nchini, na amekuwa akitumia influence aliyonayo ikulu kumkandamiza Sugu kwa kumtia ndani (lock up) mara kwa mara.
Wakati wa uzinduzi wa malaria haikubaliki Sugu alitiwa ndani bila kosa lolote, hali kadhalika Mbeya ilipokuwa inafanyika Fiesta Sugu akatiwa tena ndani.
 
naomba maana ya neno suruhisho'kwani kabla hujatuma post huwezi kusoma na ku edit?

Haku edit sawa, kwani hujaelewa alikuwa na maana gani? Jifunze kuwa muungwana na si kukimbilia kukosoa vitu vidogo vidogo na kama hukuelewa alichokiandika ungehamia kwingine mimi binafsi sipendi tabia hizi za watu kutembea na madaifu ya wengine, kaka haijanifurahisha.
 
mararamiko/malalamiko, maudhui/mauzui, muuguzi/muhuguzi, silaha/siraha. acha ujinga mkuu huku kukosea kosea maneno kwa kijinga kunawafanya wengine wasielewe kinachoendelea. kumbuka jf inasomwa na wengi duniani
 
Lakini hivyo vitu vidogo vidogo visipokolewa na kurekebishwa ndio huzaa makosa makubwa baadaye. Wala usimuone mbaya huyo aliyerekebisha... chukulia hiyo kuwa ni sehemu ya kujifunza
 
mararamiko/malalamiko, maudhui/mauzui, muuguzi/muhuguzi, silaha/siraha. acha ujinga mkuu huku kukosea kosea maneno kwa kijinga kunawafanya wengine wasielewe kinachoendelea. kumbuka jf inasomwa na wengi duniani

Mwanzo wa sentensi weka herufi kubwa na mwisho wa sentensi weka kituo kikubwa.
Huu ujinga wa kukosea kijinga kijinga unasabisha wengine tusikuelewe.
 
Na mheshiwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

tupunguze ukali wa maneo,katiba mama ya TZ inasema awe anajua kusoma na kuandika..so tumlaumu mtu au katiba?vp kuhusu jah pipo wa makambako?profesa maji marefu wa tanga?then elimu na utendaji vinashabihiana?balali ana PHD,Peter noni msomi,spika,balile nk je wana deliver kulingana na usomi wao?na vp hao mnaosema hawana elimu ya ziada (sugu,kubenea,prudence) what do they deliver?
 
Kuanguka au kufanikiwa katika maisha si shule pekee bali ni mkusanyiko wa mambo mengi tu,tumeshuhudia wasomi wa viwango vya juu waki-fail katika maisha however,elimu inapaswa kutusaidia kuyajua mazingira na kupambana ili ku-survive.
 
Back
Top Bottom