Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma.

Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti.
Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awaonya mawaziri na Rais wakigoma rais nae ajiandae kuondoka

Kama mawaziri hawana kauli na bajeti za wizara na makatibu kuwa na nguvu zaidi yao basi kusiwe na mawaziri wabakie wote wabunge kieleweke

Wanafundwa ili wawe wapinzani makini baadae
Kaomba wasinyongwe ila wafungwe

Hiyo iko poa
 
Yale yale....Tunamsubiri yesu...

Sio kosa lako tatizo ni ulichofundishwa ukiwa mtoto! Kila unachokiona unafananisha na udini, what a shame. Jengeni taifa sio kung'ang'ania udini, enzi hizo zimepita mazee!
 
Alichosema ni kuwa; yeye ni mkatoliki asingependa kuona watu hao wauwawe lakini angependa wafungwe maisha!

hawa watu watasingizia hata giza ni dalili ya freemason. Mawimbi kukata kidogo tu wakati mtu anatoa hoja wameshatafsiri vingine
 
Rejao,
kuna thread ya udini humu ndani hukuiona nini ukachangie kule!!?
"Shatwani mkubwa wewe!!"

Ahsante ndugu yangu! Huyu mtu nataka kuamini anaweza akawa hatari sana katika utaifa wetu. Kila kitu udini tu. Anataka kuongelea kauli ya mbunge Sugu, tena ametamka kuwa 'yeye sio wale wanaopenda mtu anyongwe bali wafungwe kwa maana yeye ni mkatoliki' kuna tatizo katika hilo? Yeye asnaependa tuwanyonge wanachama wenzie aseme na dini yake!
 
Mungi na wengine,
Whether Mkuu wa kaya hajawafukuza au kuwaondoa katika nafasi zao, kichapo kipo pale pale kutoka kwa wananchi.
Amini kuwa hii itakuwa dhoruba mithili ya petrol knye moto! Naona kuna kamchezo fulani kabaya mpangaji wetu pale kitalu namba moja magogoni anataka akafanye, bahati mbaya hajui kuwa katamgharimu mno!
Nimeanza kuamini kuwa huenda huyu mkuu wa kaya nia yake ni kuiua CCM na magamba yake mana kwa mwendo unavyoendelea hawaonyeshi any seriousness! Pole yao magamba!
 
jamani kwa aliyeangalia bunge naomba atujuze kwa alichokisema leo mjengoni.
 
Yale yale....Tunamsubiri yesu...
NINAKUSHAURI UKAKISHAURI CCM KIMBUNGA KINAKUJA ARUMERU MLIFIKIRI UTANI SASA ANGALIA SLAA ANAVYOSAFISHA NJIA NNYIE MNABEZA BUNGENI CHADEMA WANAVUNA WANANCHI:target:
 
Sikuelewa alichokuwa nazungumza. Ilikuwa ni vurugu tu, mara Swiz, mara Katavi, mara Mbeya, mara vipepeo, mara mi Mkatoliki...kuna asiyejua CDM wamejaa wakatoliki???

Kwani watu wasiojua kuwajibika, huwa wanasikia na kuelewa kitu? wao huwa wanasikia kelele tu. Mpaka uwapige konzi. Na Rejao yuko hivyo.
 
Kilichobaki ni kuichanachana ccm mpaka ibaki watupu........watz wooooooooote wameichoka.....rais dhaifu/legheleghe, w/mkuu dhaifu/mwoga, mawaziri dhaifu/kichwa ngumu, wabunge dhaifu/wanafiki hatuwezi kufika mpaka mfumo wote wa ccm ambao ni wa kifisadi ung'oke
 
sugu na wabunge wote wa upinzani wamejipanga sana...kamaliza CCM ianze kujifunza namna ya kuwa chama cha upinzani
 
Back
Top Bottom