Sugu moto chini: CCM tunawambia haya ili mje muwe wapinzani makini

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma.

Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti.
Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awaonya mawaziri na Rais wakigoma rais nae ajiandae kuondoka

Kama mawaziri hawana kauli na bajeti za wizara na makatibu kuwa na nguvu zaidi yao basi kusiwe na mawaziri wabakie wote wabunge kieleweke

Wanafundwa ili wawe wapinzani makini baadae
Kaomba wasinyongwe ila wafungwe
 
iko sawa mkuu ila sikuyadikia msnrno yske ya mwisho pale sliposema " mimi ni mkatoliki.........." tbc wakayaminya maneno yanayofuata.
 
Mhe sugu leo alipokuwa anachangia hotuba ya kamati ya ardhi maliasili na mazinngira alinifurahisha sana aliposema yeye hataki mawaziri wanyongwe ila wafungwe kifungo kirefu. Very interesting idea!
 
Hakika aliwaangukia haswa hawa mafisadi!

Sikio la kufa halisikii dawa!
CCM KWISHA MBINU YAO!
 
ee bwana eeh nimemuona akiongea kwa hisia kali sana! jamaa kawachana mawaziri wanaotakiwa kuwajibika na PM na kuwa kama hawataki kuna dhoruba kali linakuja! KIJANA ni jembe wabunge wwote wamemuunga mkono hadi PM katikisa kichwa!
yetu macho!
 
Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma.

Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti.
Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awainya mawaziri na Rais wakigoma rais nae ajiandae kuondoka

Kama mawaziri hawana kauli na bajeti za wizara na makatibu kuwa na nguvu zaidi yao basi kusiwe na mawaziri wabakie wote wabunge kieleweke

Hii ni meseji, kikwete atakuwa ameipata. mkuu sahihisha kwenye red sijaielewa, japo maudhui nimeelewa
 
tuchukue hao mawaziri ... maanake tumechukua na majimbo yao..... wezi wakubwa...
 
Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma.

Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti.
Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awainya mawaziri na Rais wakigoma rais nae ajiandae kuondoka

Kama mawaziri hawana kauli na bajeti za wizara na makatibu kuwa na nguvu zaidi yao basi kusiwe na mawaziri wabakie wote wabunge kieleweke
Sugu kawasilisha mada vizuri sana. hawa mawaziri wadokozi inaonekana hawasikii hadi tutakapo wachanja ndo watasikia kuwa tunaongea na wao ili wajiuzuru.
 
Kawambia kabsa wajiandae kuwa chama pinzani, lakini chama pinzani makini sio legelege kama magamba.
Kawashukia mawaziri wanaojifariji kuwa huo ni upepo tu unapita, kawaambia wasahau maana tufani inayokuja itang'oa kama sio bati basi ni nyumba yote! message sent kwa mkuu wa kaya pale magogoni, tuone kama ataendelea kutabasamu na pamoja na ufirauni wa mawaziri wake!
 
Sasa hoja moja ya maliasili thread 10 kidogo? mods unganisha hizi thread kuturahisishia huu usumbufu.
 
Alisema yeye ni mkatoliki haruhusiwi kuua kwa hiyo anashauri Mawaziri waliotuhumiwa wafungwe maisha wasinyongwe.
 
Sugu hajagundua kuwa mjadala wa mawaziri kujiuzulu jk ameshaufunga.

Ni upepo tu utapita.

Kikwete kwa kutetea wezi anatisha
 
Alichosema ni kuwa; yeye ni mkatoliki asingependa kuona watu hao wauwawe lakini angependa wafungwe maisha!
 
iko sawa mkuu ila sikuyadikia msnrno yske ya mwisho pale sliposema " mimi ni mkatoliki.........." tbc wakayaminya maneno yanayofuata.

Sugu alisema hv, yeye ni mkatolik saf asingependa kuona mawazir wananyongwa bt anapendekeza wafungwe kifungo cha maisha.
 
sugu moto chini , anawakimbiza mchaka mchaka kila sehemu :A S 41: . amesema kama wabunge wangefuata mizuka ya wananchi basi bunge lisingekalika wangeng'oa viti watwangane
 
Back
Top Bottom