'Sugu' kupokea maandamano ya TUCTA Mbeya

yap,hii imekaa vizuri na tunafurahi kuwa watanzania wameeanza kuona na kusikia,kilio cha wanaharakati wetu.
 
This is very interesting!!
HIVI RAIS YUKO WAPI? ANAUMWA? MBONA HAONGEI KAZI YAKE NINI?
 
Bado yuko bize Magogoni tusimtafute, anaendelea kuwahonga pilau baadhi ya viongozi wa BAKWATA kumpigia hivo hivo chapuo katika masuala mbali mbali nchini na kumsambaratishia mbali Maadui wakubwa Maaskofu na vyama vya upinzani nchini.

Baba Kikwete wala usitoke nje Dar jua linaunguza kuliko pasi hadi kwenye mifuko yetu, wewe kajitulize ule tu good time pia kuna kamkutano moja hivi wa UN nimepata upepo wake kufanyika kule Geneva Uswisi hivyo kaandae tu brifkesi kwa safari.
 
Vipi taarifa za ki-intelijensia, zinasemaje! Ah aijipiiiiiiiiiiiiii! sasa wanaandamana tu bila vurugu zilizokuwa forecasted na geshi la porisi!
Hakuna cha intelijensia wala nini hapa! Kule Arusha waliamua kuua coz walitumwa na serikali ya CCM. Huko Mbeya hawatafanya lolote tena sababu wameshaona ujinga waliofanya kule unavyowagharim sasa. So HATA WEWE KAMA UNA HAJA YA KUANDAA MAANDAMANO YA AMANI ANDAA TU POLISI WAMESHAKUWA WAPOLE GHAFLA.
 
Kumbukeni haya ni maandamano ya TUCTA na sio CHADEMA
 
Ni fundisho kubwa sana hilo kwa serikali, wafanyakazi kuikataa serikali ndio mwanzo wa mapinduzi.
Maumivu ya kichwa huanza pole pole, kosa kubwa la polisi na serikali yake ni kuua kule Arusha sasa kila wanapotaka kuzuia maandamano lazima wajiulize mara mbilimbili kabla ya kutekeleza, wakati wanajiuliza wananchi ndio wanazidi kupata nguvu za kuandamana mwisho wake ni maandamano ya nchi nzima yasiyo na kikomo trust me.
 
Ndivyo ilivyo na tayari mizizi imeishaanza kuota
 
Hakuna cha intelijensia wala nini hapa! Kule Arusha waliamua kuua coz walitumwa na serikali ya CCM. Huko Mbeya hawatafanya lolote tena sababu wameshaona ujinga waliofanya kule unavyowagharim sasa. So HATA WEWE KAMA UNA HAJA YA KUANDAA MAANDAMANO YA AMANI ANDAA TU POLISI WAMESHAKUWA WAPOLE GHAFLA.

Wanasema ziku zote ukimuonea mtu, baadae akasema inatosha nafikiri habari yake inakuwaga sio nzuri
 
Ni aibu kubwa kwa mtendaji wa serikali kukataliwa namna hiyo!!! Sijui JK anajisikiaje hapo Magogoni.
 
this is a nyce movie! kuanzia sasa napendekeza kuwa katika shughuli zote za kitaifa tusiwaite tena viongozi wa serekali kama wageni rasmi...tuwaite kina slaa wahutubie...wanaweza kutueleza kitu!
 
January 29 mwaka huu? Mbona imeshapita? Mwandishi acheki vizuri katika tarehe na mwezi. Taarifa nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom