Sugu iz on air times fm (100.5)

Sugu bwana namkubali. Lakini kila kizuri hakikosi kasoro, tatizo lake kubwa ni kujikweza mno pamoja na kujisifu kupita kiasi. Naunga mkono harakati za ANTIVIRUS.

Mwelekezeni huyo Mbunge aamini hao waliojitoa tatizo si "njaa" bali wanatumia "haki" yao ya kikatiba.
Pili kumbuka sifa kubwa ya mwana siasa ni "Uvumilivu" Na kwenye siasa "Hakuna Adui wa Kudumu", na Adui yako wewe ni "Rafiki yangu mimi". Wanasiasa wengi wanapenda kuburuza wananchi kwa misingi ya kujiona wao ni bright kuliko wengine hata pumba zao sisi tumeze tu, MITIZAMO HII leo inaigharimu ccm na pengine hizi ndiyo dariri kwa mh. sugu. Akumbuke tu kuwa Mbeya wanataka kazi/maendeleo na kimtazamo wangu muziki / antivirus sina hakika kama is among the ten most ranked preference (iko kwenye vipao mbele kumi vya wanambeya.
 






  • Report/Mark as Spam[h=6]Anselm Soggy The-Entertainer
    ‎-Nafurahi sana kuona Vinega wa Antivirus tunapewa support kubwa sana na kila anayejua matatizo ya muziki wa Bongo,kwa niaba ya Vinega wenzangu nasema Mungu awabariki lakini nawaomba sana mje kwa wingi kwenye show yetu pale Chuo cha Utawi wa Jamii Kijitonyama Nov 26....Show inaanza saa 12 jioni[/h]Share · 20 hours ago ·
    • 17 people like this.



      • Robert Birdman Jr. Ant virus with no apology,we throw dueces up and we add six on it 2620 hours ago




      • Mohamed Ally Hlo c la kuomb kakaa,lazma 2wepo hapo20 hours ago




      • Hossana Frank okkkyyyyyyyyyyyy20 hours ago




      • Extpencive Real Cmile Cmile Clouds wanalo20 hours ago · 1Loading...





      • Mark as Spam

        George Tibaijuka Pamoja kaka20 hours ago




      • Jackline Charles Marandu no problem kinega,tutakujaga19 hours ago





      • Mark as Spam

        Mpera Sasu Baraka Kuja wa2 watakuja hata mie nawasupport bt msiwe Vinega Majina2 lazima muonyeshe mfano hope mtafanikiwa kwa kuanzia hili la show ya 26 then anzisheni umoja wenye Nguvu ambao utasaidia Wasanii kutajirika na kazi zao na kutofanyishwa shoo za njaa, pili Wasanii msibweteke na usanii kuweni wabunifu wa kazi zingine za kujiendeleza kuna wasanii wengi wa kuigwa I mean wakutolea mifano lkn napenda nisiwataje bt kila Mtanzania na muafrika aangalie kwa mtazamo wake tatu wasanii jaribuni kugonga Ngoma kimataifa na hili mnaweza kuanza na ktk albam yako unagonga ngoma mbili za kiingereza or kufanya collabo na Ma Mc wa kimataifa siyo kwenda nje na kupiga show kwa watanzania or wa East africa na kurudi home nakujisifia uwa una perform nje ya nchi ili khari uwa km unaperform kwenye party mwisho naweza sema...2GETHER WE CAN. ...Bravo VINEGA wote itz gud start. Asanteni19 hours ago · 2Loading...




      • Kevin Awitti Nimebanwa huku Nairobi lakini tuko pamoja full support.Let this be a stepping stone for Vinega but naamini mtakuwa pamoja.There are many ups and downs but what will make everything worth it is your unity.Muwe pamoja at all times peeps na mambo yatakua poa.One!Vinega for life!!17 hours ago




      • Mohammed Masoud nakuja na dem wng na dogo wang na dem wake nakaka yake anakuja na dem wake na dem wake kaka ake anakuja na dem wake full mashemeji.16 hours ago · 1Loading...




      • Anselm Soggy The-Entertainer Hahahahaha Moddy umetishaaaaaaa16 hours ago




      • Mohammed Masoud Sarafina wa kibanda cha cm atakuwepo?@soggy16 hours ago




      • George Tibaijuka Dah!!kwel mwana16 hours ago





      • Mark as Spam

        Frank Mushendwa mzuka sana vinega wanasababisha home knyama mpango mzima funika zima hiyo watajibebaje



 
Masoud anaielezea MAISHA+,ANASEMA seas0n 2 za maisha plus walitoa pesa mfuk0ni,maana marketing menejaz hawaamin hata wakipelekewa ideas!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom