Sugu iz on air times fm (100.5)

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Joseph Mbilinyi anasema hata wale wasanii waliosaliti dk za mwisho kwenda kwenye show ya tarehe 26,hatowalaumu kwani tatizo ni njaa,anaamini harakat za ukomboz si rahisi
 
dah mheshimiwa anachana live kweli vinega na mapinduzi ya mziki ni kama urojo na mwali wa kipemba..
 
Sugu bwana namkubali. Lakini kila kizuri hakikosi kasoro, tatizo lake kubwa ni kujikweza mno pamoja na kujisifu kupita kiasi. Naunga mkono harakati za ANTIVIRUS.
 
Pia nimependa aliposema ukwel kuwa
'DUNIANI KOTE WASANII NDO WANAOTOA MISAADA KWA JAMII,ILA KWA TANZANIA NI MASKIN NA 0MBA0MBA'
 
Nadhan ni cfa za utamadun wa HIPHOP
Sugu bwana namkubali. Lakini kila kizuri hakikosi kasoro, tatizo lake kubwa ni kujikweza mno pamoja na kujisifu kupita kiasi. Naunga mkono harakati za ANTIVIRUS.
 
BIG SOUND,BIG STAGE,TOO MANY LIGHTS FOR THE NIGHT.................26th nov vinega mwanzo mwisho.
 
Wale wote wanaopga mishemishe za maisha,hasa wale wa l0ngtym,wote wataitwa!
'unaenda mt0ni unapga show mbele ya watu laki 1,sio unaenda kwenye show mton halafu unapga show ya wabongo themanini,haina malengo'SUGU
 
Hadi jioni ya leo VINEGA walikuwa wameishauza zaidi ya tiketi 41 elfu na usheee....... Kazi nzuri vinega. Bravo Sugu....
 
Oh,anachana akapera!hahahahahah
SUGU M0TO CHINI,SUGU M0TO CHINI!NDO NG0MA INAYOFUNGA SHOW!
 
'sugu ni chama kubwa kama aseno,
'ni wakat wa kumalza u2mwa wa kibiashara,
'na kwenye unga mimi cm0,labda ganja kidogo,zaman nilikuwem0'
 
'sugu sana anamilik bunduki,
hata ncporap nahesabu milion,
hata ucpopga nymbo zangu redion
 
kweli huyo ndo sugu mameneja masoko tupeni hizo dola laki 3 walipwe local artist wanaweza kujaza ukumbi. Tuache unafiki kuna msanii anayejitambua kama sugu huyo prof jay yeye anajiita legend then juzi ndo amemaliza kujenga nyumba damn ni aibu
 
Back
Top Bottom