Sugu : Huu si upepo bali ni kimbunga

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,187
42,011
Akiongea kwa nguvu zote wakati wa kuchangia riport za kamati za kilimo na maliasili,Mh mbilinyi alisema amechoswa na wabunge magoigoi na kuendelea kusema kuwa amesikia wakitamba kuwa awatojiuzulu kuwa huu ni
upepo utapita,alisisitiza kuwa huu si upepo bali ni kimbuga kikosa nyumba lazima kiondoke na bati! alisisitiza kuwa chadema wako bungeni kuhakikisha wanawapeleka mchakamchaka mawaziri wa jk ili wajue jinsi ya kutenda kazi! Akionesha kukelwa na matatizo ya wizara ya maliasili alisema ingekuwa ni nchi nyingine wangesha shikana humu bungeni lakini kwa sababu ya ustaharabu inabidi awarekebishe kwa mdomo na kusisitiza kuwa wanchi wamechukia sana, na huu si upepo bali ni kimbunga. aliendelea kusema kuwa mawaziri hawanabudi kujiuzulu kwani wapo wenye uwezo wa kufanya kazi,makofi yaliendelea kumiminika.
BUNGE LITAENDELEA SAA11 JIONI
 
Sijakuelewa ngoja nitarudi tena baadaye

Mimi nimemuelewa,ngoja nijaribu kukusaidia kukuelewesha,ilivyo ni kwamba serikakali
ya JK wana msemo wao kuwa "hili nalo litapita" au "ni upepo tu utapita"na hii ni kwa
sababu wanaamini watanzania ni wepesi wa kusahau na hawajali .Ndiyo maana
Sugu amewaambia mawaziri na serikali wasijidanganye kuwa huu ni upepo utapita
bali hiki ni kimbunga kikipita lazima kilete madhara.
 
Jk, ccm na serikali yake walishazoea kutunyea na kutukojolea vichwani watanzania, lakini sasa inaelekea uvumilivu wa watz unafika mwisho. Wataonja joto ya jiwe.
 
Ndugu Mchokozi umefanya jambo la maana sana kumwelewesha ndugu yetu. Kwani ukweli ndiyo huo kuwa serikali yetu imezowea kuharibu ikiwa inategemea upepo kupitisha haya yanayotokea. Tumeyaona ya EPA, RICHMOND,DOWANS na sasa linakuja swala la ufisadi kwenye wizara mbalimbali........sasa kweli huu siyo UPEPO kama walivyozowea ni Tsunami kali.
 
Back
Top Bottom