Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

ZIPOMPAPOMPA

Member
Nov 29, 2010
50
10
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook

... WASE.NGE pamoja na kufoji na kutumia sauti yangu ya miaka mitatu nyuma kwenye tangazo lao la fiesta ili kuwavuruga watu,na kubeba wasanii wote wa bongo wanaowaamini kuja nao mbeya...bado tumewapoteza vibaya...like i didnt warn u about mbeya,muthafu.ckaz...!!!

kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.

Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.
 
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebookkama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"so please if that is true then msiondoe hii thread.
hapa yuko kisanii zaidi.acha awadis hawa ma.fa.la. Wa claus fm !
 
Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
 
what makes u think kuwa maisha ya mtu na siasa lazma ziambatane kila wakati? senator schawznigger (sijui kama nimepatia spelling,sorry) akiwa kwenye movies huko ni full ma-kiss na kutakana akiingia mjengoni ni kazi.kutukanana kwenye fiesta ndo mahali pake huko!
 
Aaaa,nilisema siku 1 kabla ya fiesta ya mbeya,tena hapahapa kuwa hawa vijana wawili(sugu na Ruge) wanatunishiana misuli kwakuwa kila mtu ana status yake kwenye hii nchi,Ruge ni swaiba wa JK NA CCM,SUGU ni mbunge kijana na mtoto wa mjini aliyekula msoto kitambo na pia alishawahi kufanyiwa usanii na haohao akina Ruge,so ugomvi huu hautaisha kamwe........na una mwisho mbaya sana.....kwa wasanii na kwa hawa vijana na wafuasai au wapambe wao
 
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebookkama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"so please if that is true then msiondoe hii thread.
Sugu saizi ni mbunge anatakiwa kuwa makini hizi kauli za kihuni zitamualibia
 
Sugu amenifurahisha sana, sugu ni tofauti na PIMBI wote kwenye Bongo flava industry, anajiamini na anajua anachofanya. Kuna waosha vinywa humu huwa wanamponda Sugu kwa kujiona wamesoma na wanajua sana lakini let me tel u guys Sugu anajua afanyacho na he goes places for that. Sielewi tafsiri ya ubunge hapa Jf ni nini, mnamfahamu mbunge wa Makadara, Nai? Angalieni mabunge mengine mjifunze. Ubunge ni zaidi ya kuvaa masuti, kutembelea shangingi, kukalili kamusi ya kiswahili fasaha ama kuwa mnafiki hata pale unapokuwa na dukuduku, ni zaidi ya kuiga wale ma ndito, vijana simameni ktk kile mnachoamini. Sugu ni mfano kati ya wengi hasa mh. Mbowe alinifurahisha alipomchapa kibao msimamizi wa uchaguzi kule Hai. Jana nilisliza clouds toka tano asbh ckusikia mbwembwe za Mbeya nadhani walibanwa kiana. Wasanii stukeni mtakwisha. Cowards die many times before their deaths, the valiant never taste of death but once. - Shakespeare.
 
Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
chama cha magamba ndio cha kihuni "usipokubali kuliwa hata kidogo huli sasa we unataka kula hata bila kuliwa haiwezekani" huu ndio uhuni sasa
 
what makes u think kuwa maisha ya mtu na siasa lazma ziambatane kila wakati? senator schawznigger (sijui kama nimepatia spelling,sorry) akiwa kwenye movies huko ni full ma-kiss na kutakana akiingia mjengoni ni kazi.kutukanana kwenye fiesta ndo mahali pake huko!

umesema akiwa kwenye movie lakini sio kwenye social network...umeshawahi ona akitukana kwenye twitter au facebook?????
 
Juzi nilizungumzia ili swala na nikasema litawafikisha hawa watu mbali sana , utafikia wakati maneno na ubabe wa pesa/jeuri havitafanya kazi hapo ndipo bullet itakapohitajika kufanya kazi yake.
 
watu mtasema yote ila jamaa yenu kachemka na ni uvivu wa kufikiri kuunganisha usanii wake na upuuzi aliofanya...yeye ni kiongozi wa jimbo na wananchi wake vijana kwa wazee wanamsikiliza..
 
namsapoti Sugu....magamba na wooote wanaowadhulumu maskini wa Tanzania muth...a...fu...c...k....aaz
 
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook

kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.

Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.

ulijiunga lini CDM, wewe si gamba lile kuukuu, ulidhani kwa taarifa hii utapunguza idadi ya wanachama au? acha uhuni, akiwa kwenye sura ya kisanii lazima aonyeshe usanii wake, akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa atazungumza kisiasa.
 
Back
Top Bottom