Sugu atangangaza nia 2020!!

I-NGOSHA

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
496
182
[h=6]Joseph Mbilinyi
[/h][h=6]GO! GO! YOUSSOU ND'OUR...INSHALLAH I PROBABLY BE NEXT IN 2020...!!![/h]
app_2_2254487659_1473.gif
Share · 14 hours ago via BlackBerry ·
 
Naona kichaa chake sasa kimemfika pabaya. Huyu Sugu ni wa kufungwa kamba, pimbi mkubwa ametapeli wana Mbeya amataka akajaribu na kutapeli wana TZ wote
 
anafaa
lakini ni mapema mno
anastahili kufukuzwa ktk chama kwa kutangaza nia yake,maana ndio system ilivyo siku hizi,ukitangaza nia tunakufukuza
 
Naona kichaa chake sasa kimemfika pabaya. Huyu Sugu ni wa kufungwa kamba, pimbi mkubwa ametapeli wana Mbeya amataka akajaribu na kutapeli wana TZ wote

I'm very sure wewe siyo mwanambeya.
 
Naona kichaa chake sasa kimemfika pabaya. Huyu Sugu ni wa kufungwa kamba, pimbi mkubwa ametapeli wana Mbeya amataka akajaribu na kutapeli wana TZ wote

kakautapelia mkeo mnini utakuwa umetumwa na redio ya wafu wewe **** ww
 
Naona kichaa chake sasa kimemfika pabaya. Huyu Sugu ni wa kufungwa kamba, pimbi mkubwa ametapeli wana Mbeya amataka akajaribu na kutapeli wana TZ wote

mmmh kawatapeli watu wa mbeya kwa lipi,usimchukulie suggu kimzaha.he is more dan a president kwa sisi watu wa mbeya.pia sidhani kama kuna ukweli wowote wa yeye kutangaza nia.
 
ametangaza nia ya nini? na wapi kataja urais? yani mawazo yako ndo unataka tuamini? pole sana. Mia
 
I'm very sure wewe siyo mwanambeya.

Watu bwana cjui wanakosa ya kusema? Kaa kimya basi.Unauhakika na hilo?? Kama c wa mbeya kaa kimya.Usitutibue watu wa mbeya Bwana.Mby ya sasa cyo ile ya zamani KIDEMOCRASIA tuachie sugu wetu bwana.
 
Sijakuelewa mtoa hoja,Je unamaanisha Yousi Ndour kutangaza nia Senegal na Sugu ndiyo atangaze nia Tz 2020 kwa kuwa wote ni wanamuziki(ingawa mwenzake ni wakimataifa) au yeye mwenyewe Sugu amesema atatangaza nia 2020?Hilo naimani litakuwa gumu sana unless atangaze nia kama mgombea Huru lakini si kwa tiketi ya CDM,sidhani kama ana nafasi kubwa namna hiyo CDM!
 
naona kichaa chake sasa kimemfika pabaya. Huyu sugu ni wa kufungwa kamba, pimbi mkubwa ametapeli wana mbeya amataka akajaribu na kutapeli wana tz wote

umetumwa ww na wafu fm,acha kuandika chuki,majungu nsfitins
 
Back
Top Bottom