Sugu ashikiliwa na Polisi Mbeya

kwenye hilo tamasha mapacha watakuwepo maana ni moja watu walioshirikiana vema kwenye album ya anti virus hakika kama ningekuwa mbeya ningeenda kwenye kikosi cha sungu
 
Harakati za Sugu hazijaanza leo hilo linajulikana even ktk hii move ambayo kaifanya inaonesha kweli ana nia y kuifanya industry y mziki we2 isiwe chini ya wa2 flani flani bila wao hutoweza fanya ki2.cloudz imedhihirisha jinsi gani jamaa alivyo mwiba kwenye makalio yao, sugu moto chini.
 
Wana mbeya na nyie fanyeni kama walivyo fanya fanya wezenu wa mwanza... pambaneni na hao vibaraka wa ccm kulalamika tuu hakusaidii adi nguvu ya umma itumike japo kidogoo tuu
 
Ugomvi wa Sugu na Clouds una muda sasa...km umewahi kusikia albamu ya Antivirus utakua unaelewa picha inayoendelea..binafsi nafikiri Sugu afike mahali ajitambue sasa na kuonesha amekua!
 
Mbona Luanda na Uwanja wa Sokoine ni sehemu mbili tofauti?Sugu tumekuwa tukimsikia akiipromoti fiesta.Lakini ngoja tukae kimya, habari kamili zitatufikia tu.Swali la kizushu:-hivi bunge limeisha? Inakuwaje Sugu awepo jimboni kwake badala ya kuhudhuria vikao vya bunge?
kwani kama uliangalia bunge jana zaidi nusu ya wabunge hawakuwepo bungeni, sasa wewe unadhani mbunge ni sugu pekeyake?
 
Ugomvi wa Sugu na Clouds una muda sasa...km umewahi kusikia albamu ya Antivirus utakua unaelewa picha inayoendelea..binafsi nafikiri Sugu afike mahali ajitambue sasa na kuonesha amekua!
hauwezi kwisha kirahisi hivyo, clouds walitumia nguvu nyingi sana kukandamiza wakati wa uchaguzi, vijana wa mbeya ndio walimuambia afanye hilo tamasha
 
Ugomvi wa Sugu na Clouds una muda sasa...km umewahi kusikia albamu ya Antivirus utakua unaelewa picha inayoendelea..binafsi nafikiri Sugu afike mahali ajitambue sasa na kuonesha amekua!

Lakini ni hao hao Clouds ambao kila kukicha hawaishi kumchokoza chokoza na kumpaka matope inawezekaana kabisaa wanatumiwa au wanalipwa na ccm kwa kufanya hivyo, hence akiwa kama politician inabidi ajibu mapigoo sio kunyamaza tuu akiwaangalia vibaraka wa ccm wakimchafua tuu kila siku
 
Hata hivyo mwenzao sasa ni mheshimiwa wao wauza sura tu.
 
Mbona Luanda na Uwanja wa Sokoine ni sehemu mbili tofauti?Sugu tumekuwa tukimsikia akiipromoti fiesta.Lakini ngoja tukae kimya, habari kamili zitatufikia tu.Swali la kizushu:-hivi bunge limeisha? Inakuwaje Sugu awepo jimboni kwake badala ya kuhudhuria vikao vya bunge?
jibu la kizushi,, hataki posho.
 
Sugu hajaandaa tamasha lolote ila habari kutoka Mby ni kwamba kuna kampuni imeandaa tamasha mby na Sugu ni mgeni rasmi. Wasanii mbalimbali watatumbuiza bure Afande sele, mchizi mox , mkoloni, gsolo na wengine maarufu. Clouds wanahofia fiesta kudoda na hili suala la kumshikilia sugu ni kosa la kiufundi

Hapo Kwenye Bold, Unaikumbuka Anti Virus Mixtape?,
Kwa Hisia Zangu kama hao ndio wanaoshiriki naweza kuwaongeza wasaniii wafuatao,
Mapacha Wazee wa Pasu kwa Pasu,
Mark Steve,
Kiraka Tosh Kutoka Kwembe!.

Na Mr II mwenyewe.

Na hivo bado huwezi kuniambia Mr II Hausiki na hili Tamasha!
 
Back
Top Bottom