Sugu anazungumza-hospitali huduma sio nzuri

Kwa hapo taarifa ni nini? Sugu kuongea au huduma hospitali?
 
Mgomo unaoendelea kwa sasa kwenye hospitali zetu ni Mbaya kuliko ule LIVE ulivyokuwa. Mgonjwa wako akitakiwa vipimo lazima uende Private ambako bei ya kipimo ni ya juu kupindukia. CT-Scan tu ni 280,000. Na dr. hawezi kumtibu mgonjwa kama huna vipimo vitakavyomfanya ajue unachoumwa exactly.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom