KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
kwa mkono wa kushoto?anatoa 'Salute' ama salamu ya heshima za mwisho.
wa2 bwana!hapo cha ajabu nini?ka anzia shati licpeperushwe na upepo.we unadhan anafanyaje?hebu twambie
Wakware ndio matatizo yao hayo; hawafikirii mambo ya maana wao ni .........basi!!
Wakware ndio matatizo yao hayo; hawafikirii mambo ya maana wao ni .........basi!!
kwa mkono wa kushoto?
ok. Nilikuwa sijaona vizuri nadhani anatengeneza nguo yake ikae vizuri au ni pozi tu akaweka mkono wake pale.
Nguo yake ya ndani au?
nadhani kwa picha hiyo ni zote mbili ya nje na ndani.