Sugu anadhihrisha kwamba wabongo flavour tuko makin

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
Leo nilikuwa namskiliza Mh. Sugu na jinsi nlkuwa namskiliza katika mchango wake katika wizara ya mambo ya ndani! Na ndpo nlpokubali kuwa wanabongo flavour n wakali kwenye kila idara hata siasa.
 
Sugu is more than just 'm-Bongo flava'....hakuapata ubunge wa jimbo nyeti kama Mbaya mjini kwa kubahatisha!
 
Sugu SI mchezo. Safu ya upinzani inatisha, si umeona Magamba Ndugai jinsi alivyokuwa anapayuka jana baada ya nondo kali za Lema bungeni.
 
kwakweli nlfurah zaid jinsi alivyokuwa akiibua hoja na kuisapoti sio kama wanamagamba weng ambao hujiita wakongwe bungen lakn mwisho wa siku wanatoa hoja na kukosa maelezo ya ktosha kusapot hoja zao kias unashndwa kujua ameongelea nn.
 
Back
Top Bottom