Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Joseph Mbilinyi
‎...ningemuona Nchimbi ana HEKIMA ya kiuongozi iwapo angewaamuru Kusaga na Ruge pamoja na kampuni yao Clouds na THT kwanza warudishe STUDIO waliyomtapeli RAIS KIKWETE ili iende serikalini kwa maana ya BASATA kwa faida ya WASANII WOTE,na si kuwapa majukumu zaidi kwenye sanaa ili waendelee kuchakachua... Ni aibu..!!!