Sugu alisema bungeni

Namuaminia kamanda sugu, alichosema ni kweli tupu, kwa kuwa tumemsikia kwa masikio yetu, Kova akitueleza kuwa huyo janjaweed wa Kenya alipoulizwa alisema, hiyo kazi maalum ya kumshughulikia dr, Ulimboka, alipewa na kigogo mmoja wa serikali, ambaye hamfahamu kwa sura!! Mmh....hii Tanzania yetu inaendeshwa kwa mtindo wa ze comedy ya kina Bambo, hivi jukumu zito la kupanga kumuangamiza dr. Ulimboka, si lazima ulihusisha vikao vingi sana vya kupanga mikakati na baadaye kukabidhiana ujira wa kutekeleza assignment hiyo, sasa inaingia akilini kweli aliyetekeleza jukumu hilo, hamjui mtu aliyempa hiyo task??? Hii ni ajabu na kweli ambayo inapatikana TZ pekee!!!
 
Namkumbua dada yangu alishawahi kuniambia ukitaka kuwa muongo usiwe msahulifu.Maana unaweza kusema hivi baada ya dakika kadhaa ukajiping atena mwenyewe.Tafakari chukua hatua:spy:
 
Back
Top Bottom