Sugu ajitolea kuwa mbunge wa Kyela; Amzunguka Mwakyembe

kumlinganisha SUGU na Dr. Mwakembe??????????? hapa nadhani kuna tatizo

tuwe wakweli jamani huu upovu unaotokana na ushabiki ni mbaya sana

ok. kwahyo unataka kusema sugu moto chini kwa mwakyembe kwakuwa tu mwakyembe ni dr. au? uadilifu na utendaji ndo kipimo mkuu, u'dr. wa mwakyembe unaweza ukafunikwa na std 7. chukulia umlinganishe sugu na dr. jakaya, hapo vp?

kwa iyo Sugu mpaka sasa ana maajimbo mawili? kweli uyu ni Sugu. Nadhani cdm wabunge wote wagawane majimbo yote ili waitawale nchi kutokea kwa wananchi ili ccm itawale kutoka magogoni, ngoma inogile............

Katika mkutano CHADEMA wilayani humo. JOSEPH MBILINYI ambaye ni mbunge wa Mbeya mjini amejitolea kuwa mbunge wa jimbo la kyela hadi watakapolichukua rasmi 2015. Sugu alihoji kinachomchelewesha kujiuzulu ikiwa watu waliomchagua ndiyo wanaomkataa leo? Aliwapa pia namba ya simu na kudai wampe kero zao na atazifikisha bungeni. Pia ametoa siku 7 za kukarabati stand, vinginevyo ataongoza maandamano. Amedai pia alitegemea amkute Mwakyembe jimboni lakini amemkimbia... Hiyo ndiyo Kyela na mbunge mpya, SUGU

Tupeni CV ya Sugu hapo nitakuwa tayari kukubali kama ana uwezo wa kuwakilisha majimbo mawili. Mbeya mjini ni kasheshe, uchaguzi ukiwa leo atapigwa chini

cv ya kazi gani. . . ! Kwani ubunge ni kazi ngumu ? Sugu kaomba wampigie simu awasaidie kuwasilisha kero zao. Hakuna ubaya.
Mwakyembe ni waziri hawezi tena kusimama na kuiagiza gvt kutimiza wajibu kama mwanzo.
Kuna ubaya gani kutenda kwa faida ya umma. ?

Sugu acha bangi,mbeya pamekushinda ndio unataka uende kyela? Chadema nadhani mnachukulia mambo kiurahisi tu na mchezo mchezo kutaka sifa! Hivi std 7 sugu nae ni wa kulinganishwa na Dr Mwakyembe! Basi kama ndio Sugu na Dr slaa wako sawa na Dr slaa atakua anavuta bangi kama sugu anavyofanya

Std 7,mwanzilishi wa bongo fleva tanzania,na sasa ni Mbunge wa mbeya! Ndio CV yake. Haya tumjadili sasa. Angalizo tusipoteze mda kujadili mjinga huyu Sugu hana lolote

Ni ahadi gani ambazo Mwakyembe kazitimiza Kyela?
1. Barabara ya kwenda Matema kwa kiwango cha lami?
2. Meli ziwa Nyasa?
3. Kiwanda cha Kokoa?
4. Kiwanda cha kusindika matunda?
5. Ujenzi wa stendi?
6. Ununuzi wa bajaj?
7. Ujenzi wa Ofisi za Mamlaka ya Bonde la Mto Songwe?
8. nk
Kama hakuna ahadi aliyotimiza na wananchi kwa bahati nzuri wamemshtukia, u-Dr wake unatusaidia nini?

kwa mambo yanavyokwenda kwa sasa
chama cha magamba wataropoka kwamba
chadema ni chama cha
WAKASKAZINI, WAKUSINI, WAMAGHARIBI NA WAMASHARIKI (KUTOA ZANZIBAR)
kisha chama na serikali kitamalizia kwa kusema WATANZANIA hawana shukurani chama cha magamba tuliwaletea uhuru lakini leo wanapenda sana chadema.
MWAKYEMBE ni mwana mpotevu atakula sana na nguruwe mpaka hatakaporudi nyumbani CHADEMA.

Katika mkutano CHADEMA wilayani humo. JOSEPH MBILINYI ambaye ni mbunge wa Mbeya mjini amejitolea kuwa mbunge wa jimbo la kyela hadi watakapolichukua rasmi 2015. Sugu alihoji kinachomchelewesha kujiuzulu ikiwa watu waliomchagua ndiyo wanaomkataa leo? Aliwapa pia namba ya simu na kudai wampe kero zao na atazifikisha bungeni. Pia ametoa siku 7 za kukarabati stand, vinginevyo ataongoza maandamano. Amedai pia alitegemea amkute Mwakyembe jimboni lakini amemkimbia... Hiyo ndiyo Kyela na mbunge mpya, SUGU

bange...bange,sugu bange zinamsumbua tuu

Hivi Sugu amefanya nini kwenye jimbo la Mbeya toka amechaguliwa?nothing!!

Sugu jizadhatiti kwanza kwenye jimbo lako, rudisha imani waliyokuonyesha watu wa Mbeya,tekeleza ahadi ya uwakilishi makini na mahiri bungeni na jimboni-mpaka sasa haujaonyesha hilo, tekeleza ahadi zako kwa vijana, tekeleza ahadi ya bandari ya nchi kavu, tekeleza ahadi yako ya Laptop Moja-Mwanafunzi mmoja, hawajasahau!!

Ushauri wa Bure: Mwakyembe yupo salama saana kuliko wewe, ni rahisi sana kwa Mwakyembe kujenga hiyo barabara ya stand ya Kyela yenye less than 2 km kuliko wewe kutimiza ahadi zako, na ni rahisi saana kwa Mwakyembe kuanza sasa kutekeleza majukumu kama Mbunge wa Mbeya kuliko wewe kutekeleza lolote kama Mbunge wa Kyela.

"Kuwa na akili ni pamoja na kujua jambo unaloliweza na lile usiloliweza" JK Nyerere.

butola ivi kuna wakati akili yako inajarm nini? Unaweza kuboot pia .Hapa naona IQ yako ilikutana na foleni!

Sugu acha bangi,mbeya pamekushinda ndio unataka uende kyela? Chadema nadhani mnachukulia mambo kiurahisi tu na mchezo mchezo kutaka sifa! Hivi std 7 sugu nae ni wa kulinganishwa na Dr Mwakyembe! Basi kama ndio Sugu na Dr slaa wako sawa na Dr slaa atakua anavuta bangi kama sugu anavyofanya

we dr slaa kaingiaje apa?acha upumbavu. Bangi uvute wewe basi unafikria kila mtu teja mwenzio,acha ujinga wewe!

Std 7,mwanzilishi wa bongo fleva tanzania,na sasa ni Mbunge wa mbeya! Ndio CV yake. Haya tumjadili sasa. Angalizo tusipoteze mda kujadili mjinga huyu Sugu hana lolote

we kweli hamnazo. Unasema aya tujadili sasa,alafu unagundua ghafla kuwa umetumia akili ka ya panzi unasema tusijadili tutapoteza muda! Ukiachwa siku nzima utajichanganya mara mia.

cv ya kazi gani. . . ! Kwani ubunge ni kazi ngumu ? Sugu kaomba wampigie simu awasaidie kuwasilisha kero zao. Hakuna ubaya.
Mwakyembe ni waziri hawezi tena kusimama na kuiagiza gvt kutimiza wajibu kama mwanzo.
Kuna ubaya gani kutenda kwa faida ya umma. ?

ndiyo maana nimesema, wenye akili wameelewa nini Sugu anamaanisha

Sugu acha bangi,mbeya pamekushinda ndio unataka uende kyela? Chadema nadhani mnachukulia mambo kiurahisi tu na mchezo mchezo kutaka sifa! Hivi std 7 sugu nae ni wa kulinganishwa na Dr Mwakyembe! Basi kama ndio Sugu na Dr slaa wako sawa na Dr slaa atakua anavuta bangi kama sugu anavyofanya

huo u-dr. Wa mwakyembe hauna faida ikiwa unafanya mambo kushibisha tumbo lako, hiyo std 7 mnaitoa wapi? Au asiyekuwa Dr. basi ni std 7?

butola ivi kuna wakati akili yako inajarm nini? Unaweza kuboot pia .Hapa naona IQ yako ilikutana na foleni!

Nimekosea nini hapa mkuu?naamini sio busara kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Hivi Sugu amefanya nini kwenye jimbo la Mbeya toka amechaguliwa?nothing!!

Sugu jizadhatiti kwanza kwenye jimbo lako, rudisha imani waliyokuonyesha watu wa Mbeya,tekeleza ahadi ya uwakilishi makini na mahiri bungeni na jimboni-mpaka sasa haujaonyesha hilo, tekeleza ahadi zako kwa vijana, tekeleza ahadi ya bandari ya nchi kavu, tekeleza ahadi yako ya Laptop Moja-Mwanafunzi mmoja, hawajasahau!!

Ushauri wa Bure: Mwakyembe yupo salama saana kuliko wewe, ni rahisi sana kwa Mwakyembe kujenga hiyo barabara ya stand ya Kyela yenye less than 2 km kuliko wewe kutimiza ahadi zako, na ni rahisi saana kwa Mwakyembe kuanza sasa kutekeleza majukumu kama Mbunge wa Mbeya kuliko wewe kutekeleza lolote kama Mbunge wa Kyela.

"Kuwa na akili ni pamoja na kujua jambo unaloliweza na lile usiloliweza" JK Nyerere.

kumlinganisha SUGU na Dr. Mwakembe??????????? hapa nadhani kuna tatizo

tuwe wakweli jamani huu upovu unaotokana na ushabiki ni mbaya sana

Hata mimi ktk hili sijamsoma! Siyo lazima aongee kila kitu atawapunguzia heshima Chadema kama kweli kasema hayo maana sijui kama hana akili kiasi hicho.
Sugu anatakiwa tu ajue siyo kila mtu ni wa kumpinga kwa vile tu yuko ccm, no! Ktk hili nasema No! Akina Dr wetu wa ukweli Slaa wafundisheni vijana jinsi ya kusema na ni kipi kitamshusha heshima na ni kipi kitampandisha. Sugu Sugu! Kwa Mwakyembe No! Siyo saizi yako huyu labda usubiri kama atabadilika! Ila kwa sasa NO!

Nadhani Sugu anahitaji msaada wa ushauri kwa kiasi kikubwa. Inasikitisha hapa watu wanakuwa wanafiki kwa kujaribu kumsifia Sugu wakati todate kwa taarifa nazozipata kwa wanambeya waishio mbeya jamaa hajafanya lolote.

Inasikitisha kuona mshauri wa SUGU wakaribu ni Mkoloni msanii mwenzake. Nadhani Sugu angekuwambunifu leo hii angeweza kuoa hata zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kimkoa au kijimbo wa kidato cha sita na cha nne maana hawa ndio wapiga kura wake wa 2015.

Sugu inatakiwa pia atafute mbinu za kuwawezesha kina mama amabao kitakwimu ndio wapiga kura.

Sijajua amefanya nini au ana mkakati gani wa kuifanya mbeya iwe green through out the year na kafanya nini kuondokana na vumbi lililopo maeneo ya mwanjelwa\, soweto, Block T NA fOREST MPYA nilikuwepo Mbeya last October jiji limetapakaa vumbi.

Ushauri jamani maana sipendi na siwezi kuwa mnafiki katika hili wakati tunajua tunampotosha huyu SUGU

Sugu kama yupo umu jamvini, namshauri afanyie kazi huu ushauri, na mwingine uliotolewa positively kwa lengo la kumsaidia kutimiza ahadi alizoahidi.

Back
Top Bottom