Sugu abuni gari lenye jina lake!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,670
68,631
Kijana ambaye al-maarufu kama said sugu mkazi wa mombasa mjini unguja(zanzibar) amebuni gari aina ya sugu yenye muundo wa bajaji,akichezesha taya na mtangazaji wa star tv,said sugu alisema gari yake imemgharimu sh za kitanzania mil2 na imemchukua mwaka m1 kulikamilisha,mbunifu huyo sugu mwenye elimu ya darasa la 11 amesema gari yake ina uwezo wa kutembea km20 kwa lita 1 na ina max speed ya 60km/h! Wadau Tumpe support maana amelalamika serikali(kupitia,WS na Elimu ya juu) awamsaidii.


oie_22192214SBYZ6XXl--back.jpg
oie_22192433XSsW3w5g--sugu mtangazaji.jpg
sugu star tv.jpg

Nawasilisha.
 
Amebuni gari au ameungaunga gari?....mi nilijua amebuni gari linalotumia maji ya bahari badala ya petrol!:thinking:
 
Hilo gari sugu limenunuliwa na wizara ya sayansi na teknolojia.
 
Habari imekaa kima ghumashi zaidi sasa kama mtu anatka support hamna hata contact wala maelezo yanayo jitosheleza anataka support gani huyo?
 
Amebuni gari au ameungaunga gari?....mi nilijua amebuni gari linalotumia maji ya bahari badala ya petrol!:thinking:

Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu nikamwambia kwa sasa kila kitu kimeshagunduliwa na 'wazungu' sasa mtu anagundua gari leo wakati magari tunayatumia siku zote, huyo amechakachua...
Anyways hongera mgunduzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom