Sudani Kusini ni nchi mpya

bila ubishi wa nyerere na akina kenyatta yaani viongozi waliokuwa na uchu wa madaraka wakati ule hivi leo kama ilivyo USA tungekuwa na United States of Africa

sipati picha hiyo USA ya africa ingekuwaje, ingekuwa donda ndugu maana maamuzi ndani ya baadhi ya states ingekuwa balaa zaidi.
 
Katika moja ya hotuba zake baba wa taifa mwlm Julius Nyerere alikemea sana dhambi ya ubaguzi, alionya namna ilivyo mbaya na mzunguko wake usivyoisha haraka mpaka iwatafune! Alisisitiza yule atakayebaguliwa atabaki salama lakino wale wabaguzi wataendelea kubaguana. Hivyo ndivyo inavyotokea Sudani ya kusini baada ya kuwabagua wasudani wenzao, nao sasa waanaendelea kubaguana na hii haitakwisha hata wakisign mikataba ishirini maana hawajautoa mzizi wa tatizo ambao ni dhambi ya ubaguzi "Wataendelea kula nyama za watu maadamu walishaonja".
Watanzania nasi tujihadhari
 
Wananchi wa Sudani Kusini walipiga kura na asilimia 98.83% wametaka kujitoa na kuwa nchi huru.

Sudani ya Kusini ina mafuta mengi, ila haiwezi kuya export bila kupitia Sudani ya Kaskazini.

Mwalimu Nyerere alikuwa anataka kuunganisha Africa, ila naona viongozi wa siku hizi wanataka kuigawa.

Haya tuone tutanishia wapi.

ati nyerere alitaka kuunganisha africa...usifanye ni cheke,tz ni ya kwanza kujitenga na eac.as for s.sudan greed among leaders as well as long years of fighting has bn a catalyst,they havent tasted any other way of problem solving besides elimination and war.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom