Tangu kuanza tena mchakato wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mengi yamejitokeza yakiwemo ya kuongezeka Rwanda na Burundi katika jumuiya hiyo. Sasa kuna maombi ya Sudan yako mezani yakisubiriwa kukubaliwa au kukataliwa uanachama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC. Kikao cha kujadili hilo na mengineyo kimeanza leo Bujumbura, Burundi. Kuongezeka wanachama hata ambao kijigrafia hawako Afrika Mashariki kutakuwa na maana gani? manake naona sasa imekuwa jumuiya ya Afrika Mashariki, kati na.... mchango wenu wadau.