Sudan kukubali kusini ijitenge?-Bado Tanganyika kukubali!

Saini iko wapi saini ya Karume?Hilo ndio suali langu...sitaki porojo.Soma maelezo haya acha ubishi mwingi.

Mbona juzi kulikuwa na makubaliano kati ya Karume na Seif kulikuwa na sahihi yoyote? Anyway, fuatilia maelezo haya hapa chini:
1. The first General Notice to appear in the Zanzibar Gazette mentioning the Union is No. 479 published on 27/06/1964 in respect of the issue of postage stamps commemorating the Union.
2. The fact that there is no Zanzibar law ratifying the Union, there is sufficient contemporaneous evidence that in fact the Articles were ratified and the relevant law enacted by the Revolutionary Council. There is first the General Notice No. 243 of 1st May 1964 appearing in the Tanganyika Gazette, under the then Solicitor-General dated 27 April, 1964 to the effect that a law ratifying the Articles was made bye the Revolutionary Council in conjuction with the Cabinet of Ministers on 25th April, 1964. The said law is then reproduced.
3. It is recorded in the Tanganyika Hansard of 1964 that the Speaker welcomed President Nyerere and President Karume at 5:08 pm on 27th April, 1964 when the ceremony of exchanging the Instruments of Ratification took place in the Karimjee Buildings, the Seat of the National Assembly. There is an extant photograph showing the two Presidents exchanging the Instruments! On the same day, the Hansard records that five leading members of the then Revolutionary Council - Karume, Hanga, Babu, Moyo and Wakil - were sworn in as members of the National Assembly!
4. At no point then or since, the validity of the Articles of Union per se has been challenged, whatever the differences in interpretation might have been.
5. Therefore the leadership in Zanzibar, as well as the organs of the Government, may be said to have ratified the Articles by acquiescence.
6. As a matter of fact, even Mr. Wolfgang Dourado in his paper, has not challenged the validity of the Articles as such.
7. For all these reasons, it is submitted that, in law, the Articles can be presumed to have been ratified and a corresponding statute called the Union of Tanganyika and Zanzibar Law was made by the Revolutionary Council in accordance with the terms of the Articles.

SOURCE: ISSA G. SHIVJI, "The Legal Foundations of the Union in Tanzania's Union and Zanzibar Constitutions," Dar es Salaam University Press, 1990, page 4, 5.
 
6. As a matter of fact, even Mr. Wolfgang Dourado in his paper, has not challenged the validity of the Articles as such.
Kama huna saini ya baraza la Mapinduzi wala Karume katufute maharage ule...
Hiyo statement nilikutumia b4 ni kutoka kwa huyo Wolfgang Dourado.

Anyways, mie sitaki miungano nataka taifa langu hata kama Karume aliunganisha.Karume hakuwa rais halali wa Zanzibar, ni mtu aliingia madarakani kimizengwe zengwe.

Muda ushafika watanzania tujadili tena kama wananchi wanataka muungano au hawataki.Najua Tanganyika imenogewa na muungano na marashi ya karafuu, lakini nasie pia tuna haki zetu musiwe too selfish.

EA ipo tutakutana kwenye meza hiyo na kufanya biashara, huo ndio mfumo wa bei rahisi.Hiyo mifumo wa serekali 3 ni kuongeza serekali nyengine na kuongeza gharama ya kuendesha nchi.

Mfumo wa mbili kama ulivyo sasa hautendi haki kwa Zanzibar na hatuutaki!

Mfumo wa moja na kuvunja taifa la Zanzibar, haumo kwenye mjadala wetu .

Kwa hiyo kazi kwako...kama utaendelea kutukumbatia na kutulazimisha kila miaka 5 kutupiga mikwaju na kuuwa roho za wananchi wasio na hatia ili uendeleee kukaa madarakani kwa nguvu...hii nayo ina challenge zake.

Au utaamua kuvunja na kuweka 2 kila mtu na yake...ambayo ni bei nafuu za kuendesha nchi?...:rolleyes:
 
Hiyo statement nilikutumia b4 ni kutoka kwa huyo Wolfgang Dourado.

Anyways, mie sitaki miungano nataka taifa langu hata kama Karume aliunganisha.Karume hakuwa rais halali wa Zanzibar, ni mtu aliingia madarakani kimizengwe zengwe.

Hapa umeshaanza kusogeza goal post, you can simply say anything whether right or wrong to justify your distorted opinion! Eti Karume (sijui ni yule aliyefariki au huyu wa sasa) aliingia kwa mizengwe! Kama ni huyu wa sasa mbona mnataka kumwongezea muda? Anyway: Katiba yenyewe ya Zanzibar inasema kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano na Rais wa Zanzibar huapa kwa kutaja kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano! Bendera ya Zanzibar ina kabendera kadogo ka Jamhuri ya Muungano!
Whether Muungano huu una kasoro au la haumaanishi kwamba haupo kama unavyotaka wewe tuamini! Chuki zako dhidi ya chombo halali (Muungano) hakuharamishi chombo hicho!
Udumu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!
 
Hapa umeshaanza kusogeza goal post, you can simply say anything whether right or wrong to justify your distorted opinion! Eti Karume (sijui ni yule aliyefariki au huyu wa sasa) aliingia kwa mizengwe! Kama ni huyu wa sasa mbona mnataka kumwongezea muda? Anyway: Katiba yenyewe ya Zanzibar inasema kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano na Rais wa Zanzibar huapa kwa kutaja kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano! Bendera ya Zanzibar ina kabendera kadogo ka Jamhuri ya Muungano!
Whether Muungano huu una kasoro au la haumaanishi kwamba haupo kama unavyotaka wewe tuamini! Chuki zako dhidi ya chombo halali (Muungano) hakuharamishi chombo hicho!
Udumu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!

Upo lakini sio halali... :D
 
Big-up mzizi..
Umeongea points tupu mkuu
You are a genius sometimes!

Mkuu PakaJimmy kwa kufahamu kwangu mimi ndugu zetu Wazazibar wanachotaka wao ni haki waachiliwe wasiingiliwe mambo yao katika Serikali yao ya Mapinduzi tuangaliwe huo muungano wa Zanzibar na Tanganyika tangu mwaka 1964 mpaka hii leo kumekuwa na maendeleo na Faida gani kuhusu huo Muungano wa nchi hizi mbili?Na ndugu zetu hao Wazazibar wamefaidika na nini huko kwao katika huu Muungano? kwa sababu kila kilichoungana kinakuwa na faida juu yake sio tuangalie huku kwetu Bara je huko visiwani kuna Maendeleo yoyote yale? na pia tuangalie hilo jambo la kuuvunja muungano je kutakuwa na faida yoyote ile? au kutakuw na hasara ndani yake? kisha ikiwezekana wapewe Wananchi kupiga kura ya maoni kuhusu Muungano uvunjike au uendelee?tupate kujuwa ni Watu wangapi wanataka huo muungano uwepo na Watu wangapi hawataki huo muungano uwepo?Tupate kujuwa kwa njia moja au ingine kuhusu huo muungano uendelee? Au uvunjike? kwa mawazo yangu mimi sio sababu ya kuuvunja Muungano ila itabidi kuwe na Marekebisho ya huo Muungano kwanza kabisa kuhusu swala la Mafuta yaliyopo Zanzibar itabidi Bara wawaombe ndugu zao Visiwani watie hilo suala la Mafuta liwepo kwenye Muungano lakini ikiwa kama watakataa basi hilo swala la Mafuta yaliyopo Visiwani lisiwepo kwenye huo Muungano na kuhusu swala la Rais Wa zanzibar kwa upande wa chama cha CCM Mzee karume mbona CCM inaogopa kumuweka Mtu wake Mwengine ili agombee Urais kule unguja?kama imeshindwa basi hii ni zamu ya chama cha CUF kumuweka Rais wake kule unguja tunachongoja ni uchaguzi na ningependa uchaguzi wa safari hii utendeke kwa njia ya haki ili apatikane kiongozi mwenye uadilifu sio kufanya mambo ya zuluma hayo ndio mawazo yangu mimi asanteni sana
 
Back
Top Bottom