Sudan kujiunga EAC

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Sudani (khartoum) inewasilisha ombi la kutaka kujiunga na jumuiya ya afrika mashariki.
source BBC
 
Sudani (khartoum) inewasilisha ombi la kutaka kujiunga na jumuiya ya afrika mashariki. source BBC
...Ombi hilo liliwasilishwa muda mrefu, baada ya S.Sudan kuwa Taifa huru.

...Tayari wamejibiwa "Hapana" au "NO".
 
Bring them on board tunahitaji soko kubwa kuharakisha maendeleo, mzungu kupitia berlin conference ndio katugawa. Na DRC tunawahitaji, manake sudan kenya watapiga bao zaidi ila congo tutafunika.
 
Wanatakiwa wabadili muelekeo wa nchi yao ktk mambo ya dini na pia ili wawe wanachama wanapaswa wapakane na moja kati ya wanachama wa EAC
 
Sudani (khartoum) inewasilisha ombi la kutaka kujiunga na jumuiya ya afrika mashariki.
source BBC
Tayari wana mgogoro wa kidiplomasia na Kenya. Rais wao anatafutwa na ICC kwa sababu za makosa za mauaji ambavyo katika nchi zetu zote za EAC sisi ni wanachama.
Kwanza itabidi Sudan ifanye reform katika maswala ya kisiasa na demokrasia.
Kiukweli Albashir sio rais wa kuungana naye hata kidogo. Anaongoza nchi kwa mkono wa chuma tofouti na nchi zetu za EAC.
 
Bring them on board tunahitaji soko kubwa kuharakisha maendeleo, mzungu kupitia berlin conference ndio katugawa. Na DRC tunawahitaji, manake sudan kenya watapiga bao zaidi ila congo tutafunika.

Je soko lilopo limejaa? Au haliwatoshi?
 
Tayari wana mgogoro wa kidiplomasia na Kenya. Rais wao anatafutwa na ICC kwa sababu za makosa za mauaji ambavyo katika nchi zetu zote za EAC sisi ni wanachama.
Kwanza itabidi Sudan ifanye reform katika maswala ya kisiasa na demokrasia.
Kiukweli Albashir sio rais wa kuungana naye hata kidogo. Anaongoza nchi kwa mkono wa chuma tofouti na nchi zetu za EAC.

Mkuu tayari mabalozi wote wa nchi mbili wamerudishwa nchini mwao. Bashir anasakwa na Ocampo alipoenda Kenya kushangilia Katiba Mpya hakukamatwa. Taasisi za kijamii zikaenda mahakamani mahakama (iliyowekwa na katiba mpya aliyoenda kuishangilia) ikaamua kuwa alitakiwa akamatwe na akifika Kenya mara nyngine akamatwe! Bashir akakasirika akamfukuza balozi wa Kenya na Kenya ikamwita balozi wake.

Kisha huyu jamaa amezuia serikali ya Sudan kusini kupitishia mafuta kwenye bomba linalopita Nchini mwake. Ni mbabe kama akina Kagame ila yeye haleti maendeleo!!
 
Kulingana na utaratibu, Sudan (Khartoum) inatakiwa iwe na common border na mojawapo ya wanachama. Kwa hiyo waishauri Sudan Kusini (Juba), ambayo inapakana na Uganda na pia Kenya, ijiunge kisha na yenyewe iombe!
 
kwani kuna faida gani kwa Sudan kujiunga na EAC? Na mbona haikujiunga tangu jumuiya mpya ilipoanzishwa wakati ilikuwa ikipakana na Uganda?
 
Back
Top Bottom