Sublimation , condesation ,fermentation, etc

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wadau nakumbuka miaka hiy Olevel tukifundishwa masomo mbali mbali ya sayansi. kuna badhi ya mambo ilitakiwa tufanye practical lakini kutokana a kutokuwepo maabara na vifaa tuliishia kukariri picha mnato za kwenye vitabu.

Lakini karne hii ya dot.com

  • kwa nini wanafunzi washindwe kuona hizi practical japo kwenye video DVD.?

  • Ni gharama iasi gani Wizara kutengeneza DVD za practical zote za masomo ya sayansi na kuzigawa kwenye mashule?

  • NI gharama kiasi gani kila shule kuwa na Video Labaratory

  • Itakuwaje kama mwanafunzi amabaye hakulewa somo au kipindi fulani cha sayansi au hesabu darsani akiweza kupata video yake?
Nawasilisha mfano wa video zilizopo free online mabazo shule au walimu na wahusika wanaweza kudownloadl na kuweka kwenye DVD na kuwanyesha wanafuzi. Au wizara wabunge, na wadau wengine kufauta walimu wa kitanzania kutengeza vitu kama hivi

CHemistry- Acid Base Introduction


Kuna ugumu gani hapa?
F ngapi zitabadilishwa kuwa C au D na B ngapi zitabadilishwa kuwa A kama wanafunzi wakipata acess ya vitu kama hivi ??

Khan Academy inafadhiliwa na Billgates na madhumuni yake ni kusaidia nchi kama zetu lakini sijui kama Watu wa wizaarni au wabunge wetu wanaijua hii tovuti. Na kama wanajiua wamefanya nini ? Tusijisahu wenye siasaaaaa tuuuuu jamani


ICT for better change


Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu!

Nimesha jaribu kuwashauri hapa JF hata baadhi ya wabunge kwenye pesa zao za mfuko wao jimbo watenge fedha chache wapate quality DVD kwa shule za maeneo yao apo chache na wajenge VISUAL LAB yenye TV amabyo wtakuwa wanatumia kuatzama Practical . Lakini hawaonekani kuelewa.
 
Back
Top Bottom