Subash Patel live on EATV

subash

Member
Dec 30, 2011
75
36
wapendwa wana jf nioneni niko live EA Tv natangaza biashara yangu ya nondo na bati, tapata wapi mambo hii kama sio Tanzania yetu
 
Kwani ww ni nani? Mbna mimi ckujui so bado hujanivutia kukuangalia, hebu nishawishi
 
Kwani ww ni nani? Mbna mimi ckujui so bado hujanivutia kukuangalia, hebu nishawishi
Mm ndiye mwenye MM Industries natengeneza nondo bati pamoja na rangi kiboko, tanks za kiboko. Pia nina share mingi pale Estim Construction, number one contactors in Tz. Bado we nataka mm kukutongoza uniangalie tajiri mm??
 
Nimekuona veve sasa hao kina jumaa wanshika nondo ya moto vip haiko unguza kina juma? Au veve wapa masiwa ya kunywa? Je huyo wa nyuma yako mwenye helmet anakenua meno ni nani,vp uhusiano wako na basilisa-muendesha kipindi cha Ujenzi?
 
Mm ndiye mwenye MM Industries natengeneza nondo bati pamoja na rangi kiboko, tanks za kiboko. Pia nina share mingi pale Estim Construction, number one contactors in Tz. Bado we nataka mm kukutongoza uniangalie tajiri mm??

Hiyo ISO mliyopata sio ya magumashi?
 
Mm ndiye mwenye MM Industries natengeneza nondo bati pamoja na rangi kiboko, tanks za kiboko. Pia nina share mingi pale Estim Construction, number one contactors in Tz. Bado we nataka mm kukutongoza uniangalie tajiri mm??[/QUOTE

kama vp endelea kunitongoza tu kidume npo, cunajua vdume vya kimaskini shughuli shughuli tunavyoiweza!
 
First of all u dont even know the meaning of ISO. I can employ u and pay u cheap

Ningekua sihijui ningeitaja? Nahijua tangia form one tulifundishwa hasa kwenye topic ya SI Unit......we subash utakua MD kanjanja
 
Back
Top Bottom