Subaru Imprezza WRX 2011

Atlantis

JF-Expert Member
May 24, 2015
381
501
Habari wadau! Naomba kuuliza kama hzi gari Subaru Imprezza WRX za 2011 (sedan) zinapatikana ktk show rooms za hapa bongo, maana nimeitafuta beforward ya Japan sikuiona. So kama kunamtu anaweza nipatia info ya wapi naweza ipata nitashukuru sana. Vilevile ningependa kujua kuhusu fuel consumptio na vitu kama customization ambazo zinaweza fanyika i.e spoiler au bumper changes.
as-fast-as-a-muscle--2_800x0w.jpg
34145278_FT.jpg
 
Habari wadau! Naomba kuuliza kama hzi gari Subaru Imprezza WRX za 2011 (sedan) zinapatikana ktk show rooms za hapa bongo, maana nimeitafuta beforward ya Japan sikuiona. So kama kunamtu anaweza nipatia info ya wapi naweza ipata nitashukuru sana. Vilevile ningependa kujua kuhusu fuel consumptio na vitu kama customization ambazo zinaweza fanyika i.e spoiler au bumper changes.View attachment 412560View attachment 412561
Naona tunatoana udenda tu hapa.
 
Back
Top Bottom