Subaru forester yahitajika

kussy

JF-Expert Member
Jun 15, 2010
400
121
nahitaji Subaru Forester, nahitaji ushauri toka kwa wadau kama ni gari inayofaa tuwasiliane
 
nahitaji Subaru Forester, nahitaji ushauri toka kwa wadau kama ni gari inayofaa tuwasiliane


unahitaji kununua au wataka ushauri kama ununue au lah, inayofaa unamaanisha nini?? kila gari inafaa kutoka na na maeneo uliyopo na pochi yako kama mzunguko wako wa pochi ni 5,000/= kwa siku fikiri bodaboda au kama shimbo type unafaa knye mavx etc
 
Wala sikushauri kununua hiyo gari mimi niliagiza Dubai kwa dola 5000 hadi linafika bongo lakini nilikuja kuliuza ka bei ya hasara sana kutokana lilivyonifanya,kwanza linakula wese balaa na hizi foleni ndio usiseme,na spea hadi uende Mombasa au Nairobi uamuzi ni wako lakini kwa speed tu ni noma kwa sababu mashine yake ina nguvu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom