SUBARU FORESTER KALIIIIII....Inauzwa

kaygeezo

Senior Member
Jul 31, 2008
193
10
ya Mwaka 1997
cc 2000
145000kms
Dar es Salaam
Turbo
Muffler ya mashindano
17" OZ Racing Rim
Matairi yenye vipimo vya 215/45 low profile
BEI 8M.
nipigie/sms/beep 0759123683/0655123683
Picha zimeambatanishwa
IMG_3989.JPG
IMG_3987.JPG
 
Attachments

  • IMG_3995.JPG
    IMG_3995.JPG
    761.5 KB · Views: 140
Picha zimegoma, iko mkoa gani, iliingia nchini lini, Odometer inasoma km ngani ?
 
Kwa majibu ya haraka wakati narekebisha Picha
Ipo Dar es Salaam
143000kms
Imeingia Nchini August 2011
 
mie pcha haztaki kufunguka bana; hebu nambie ishatembea km ngapi?

verry simple...ukitaka kujua gari imetembea km ngapi huwa tunafanya hivi...
Assume kila siku gari imetumika na imetembea km 20 x 365 days= 7300km kwa mwaka..then zidisha na tofauti ya mwaka gari ilotengenezwa na mwaka uliopo (2012-1997=15)= 7300km x 15yrs=109500km.

Kinyume cha hapo lazma iwe odometer ilitembea sana kwa gia ya reverse.
 
Hiyo theory yako sio ya ukweli. Kuna watu tuna magari mawili, moja lenye engine ndogo kwajili ya kuendea kazini mf vitz na kuna moja 4x4 kwa ajili ya shamba weekend na kwa mwezi labda mara mbili.
Japan kuna magari yapo yard yamepakiwa yanasauibiri wanunuzi hata miaka saba hayajauzwa. Na pengine yalikuwa yanatumika kwa city trips tu. Sasa sio kila siku lazima uendeshe gari moja. Na mfano mungine, binafsi kuna kipindi nilikuwa naenda morogoro na kurudi mara mbili kwa wiki. So in a week nimeshaendesha km zaidi ya elfu mbili.

Huko ulaya na marekani ndio usiseme, kuna watu wanaishi mji aui nchi moja wanafanya kazi mji au nchi nyingine na wanadrive kila siku kwenda na kurudi kazini. Mf ujerumani na uswiss. Watu wanaishi constanz wanafanya kazi zurich, au uk watu wanaishi reading wanafanya kazi london au manchester na kufanya kazi liverpool...
Kifupi matumizi ya gari yanatofautiana kwa mtu na mtu. Kutembea kwa gari miles nyingi kisiwe kigezo cha kurate ubora wa gari.
Unaweza kuishi sinza ukafanya kazi cocacola, na gari yako isitamanike kwa makorongo ya sinza... LoL
 
verry simple...ukitaka kujua gari imetembea km ngapi huwa tunafanya hivi...
Assume kila siku gari imetumika na imetembea km 20 x 365 days= 7300km kwa mwaka..then zidisha na tofauti ya mwaka gari ilotengenezwa na mwaka uliopo (2012-1997=15)= 7300km x 15yrs=109500km.

Kinyume cha hapo lazma iwe odometer ilitembea sana kwa gia ya reverse.

wengine ni watu wa safari ndugu, hiyo hesabu si mara zote ipo sahihi
 
Nimetokea kupenda sana FORESTER tatizo sijui zina matatizo gani!.... Wanajamvi, yeyote mwenye uzoefu na aina hii ya gari vitu kama..... spare, consumption ya mafuta, na weakness nyingine ili nikinunua nijue napigana vita vya aina gani.... natanguliza shukrani...
 
Miaka ya nyuma tulikuwa tunapata shoda sana ya spare ,wauzaji walikuwa wachache..kwa Nyange ,Karim ummaliza ,lakini sasa ni wengi na pia kuna option ya kuagiza kutoka Arusha(wananunua Kenya kwa bei nafuu sana).
The good thing spare ni genuine japo bei zake mara nyingi zipo juu tofauti na gari nyingine( mfano Oil Filter ya toyota unapata kwa 5000 ,lakini ya genuine subaru ni 25000).

Upande wa fuel consumption ni wewe na mguu wako kwenye mafuta ,ya kwangu lita 1 inaenda 9km na ac.Ila nikienda racing huwa zinashuka mpaka 7-8(motokaa yangu ni turbo powered na ina makorokoro kibao ya kimashindano).

Weakness kubwa ni kwamba zinakimbia sana! ,mine in less that 40sec ishafika 140kmph

Ni gari nzuri ingawa tumekariri sana kuhusu toyota ,ukipata Manual utaenjoy sana. Try the cross sport 6speed MT
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom