Subaru forester,check engine light!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu naomba msaada hapa,
nina subaru forester 1998 model,taa ya check engine kila wakati inawaka na kuzima,imeanza week iliyopita,tatizo litakuwa ni nini??je kuna madhara gani naweza pata ndani ya gari kwa hilo?
 
Timing belt inahitaji replacement mkuu pengine tokea imetengenezwa 1998 replacement haijafanyika.
Madhara nikama itachoka kabisa nakukatika safari zitasimama chombo kitakuwa kimekukwamisha safari zako.
Pita kwa wataalamu wakubadilishie mkuu.
 
Back
Top Bottom