Subaru Forester 2004 Manual inauzwa

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Subaru forester ya mwaka 2004 manual inauzwa 16Million Madafu money,
ina kilometer 83000KM, inatarajiwa kuwa nchini mwezi ujao tarehe tano (5.06.2010) kwa anayeihitaji tafadhali tuwasiliane kwa zungu.business@gmail.com

asante sana.
 
Subaru forester ya mwaka 2004 manual inauzwa 16Million Madafu money,
ina kilometer 83000KM, inatarajiwa kuwa nchini mwezi ujao tarehe tano (5.07.2010) kwa anayeihitaji tafadhali tuwasiliane kwa zungu.business@gmail.com

asante sana.

a serious joke ever.16,000,000/= TZS??? sijaelewa!!! gari inauzwa $3000 we unauza 6 times?huo ni unyonyaji na haipendezi kuwanyonya wenzio..aaaaghhh
 
KIgogo sio kweli kwamba inauzwa 3000$ ni 6500$ jumlisha na wazee wa TRA then sema kama nikunyonya aaaaghhh! pia kumbuka si model ya mwaka 2000 ni mwaka 2004. kama unadata za kupata kwa hiyo bei hata mie nitashukuru ukinipatia wapi nitaipata.....senki yu.
 
Kaka hapo parefu na mdondoko huu wa uchumi na kupanda kwa mafuta bora nabaki na starlet yangu nikifisadi sehemu nitabadili gari.:closed_2:
 
Tonge vipi bwana usiogope mafuta we subiri tu ukifisadi nijulishe maana si unajua October lazima waachie tu. we jipange kikamilifu tu,
Tatizo hawa jamaa wa TRA wananyanyasa sana kodi kubwa mmooooo...
 
i though umesahau kuweka (.) anyway wadau watakutafuta wapenzi wa subari, But hii kitu inatoka mbio usipime
 
Haina matata KIng hii kitu bwana mwenyewe amesema hataki manual ndo maana kaamua likifika tu aliachie...
 
Ni la mashindano?
Nasikia subaru zinakimbia sana.
kama linafaa kwa mashindano ongea dili na Baraboow wa Morogoro au Kinje, watachukua fasta, maana Kinje amesha wahi kushiriki mbio na Land Rover
 
We kaka mkuu hili sio la mashindano... ni la kawaida tu... hivi ni kweli sports cars hazina ushuru hata shilingi moja?
nisaidieni nijue zaidi...
 
Kwa kweli ni muhimu kuangalia uwezo wa watu kwani kwa hali ya sasa uchumi uko doro sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom