Suali liko hivi. - Kesi mahakamani.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Je inawezekana anaeshitaki kuwakilisha wakili na yeye asiwepo mahakamani kwa muda wote mpaka kesi inamalizika hajaonekana mahakamani. ?
Kama inawezekana mshatakiwa anaweza kudai anemshitaki afike mahakamani ?
 
Mahakama gani hiyo? ya Judge Joe Brown nini? seriously inategemea na aina ya kesi na mashtaka.....yes, ni possible kabisa wakili akawakilisha bila mshtakiwa kuwa kortini.
 
Kwa nilivyofahamu ni kuwa wote wanaweza kuwakilishwa na mawakili na hukumu ikatolewa ,au sivyo kwani kuna mtu amenizika fedha na mimi nipo ughaibuni,nilichokusudia mimi nitakuwa sipo hivyo nitaweka wakili,suali lipo hivi je ninae mshitaki anaweza kudai au kuidai mahakama kuwa ni lazima mimi ninae shitaki niwepo ili kesi iendelee ?
 
kesi yako ngumu!! mara nyingi kesi za dizaini hii zinakuwaga tamu na kutoa positive results kama wewe mshtaki ukiwepo. Judge Judy angependa uwepo kortini, kukosekana kwako kunapunguza uzito wa kesi yako..........otherwise pole kwa masahibu!!.
 
Back
Top Bottom