kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.
Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.
Kaka!! Ndugu Mkinga na mkubali sana! kicha cha tread hii hakiendani na habari kamili!! Kama ametoa kauli hiyo usiichakachue, ilete kama ilivyo!!Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.