The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,104
Kibaya zaidi ni kwamba posho hulipwa kwa kila kikao. Kama kamati ya bunge ikiamua kukaa mara tatu kwa siku, wajumbe watapata posho mara tatu. Htaa kama kuna mfumo wa kusimamia idadi ya vikao, huu mfumo ni matashi ya mtu - inategemea kaamkaje siku hiyo, au busara zake zimekaa vipi wakati huo.
Mimi nadhani ni bora wawaongezee tu mishara iwe hata 10 Million na waue posho kabisa.
Mimi nadhani ni bora wawaongezee tu mishara iwe hata 10 Million na waue posho kabisa.