Suala la muswada wa katiba linazidi kunichanganya

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Hivi hawa watu ni nani anaitakia mema nchi hii? Ukizingatia kelele nyingi zinatupoteza
mara,
1.jukwaa la katiba
2. Mara wabunge upinzani,
3.mara wabunge sisiemu,
4.mara wanasheria uchwara,
5.mara wanasheria wanaojiita halisi,
WANAZIDI JUTUCHANGANYA TU, KILA MMOJA ANATITAHIDI KUJENGA HOJA ILI AAMIMIKE, UTAMSIKIE TUNDU LISU, PROFESA SHIVJI, DEUSI KIBAMBA, ANNE KILANGO, wengine wanaongea mpaka povu linawatoka midomoni, unafiki tu, nahisi kuanza hata kuchukia siasa coz kila mtu anajitahidi kutaka nimwamini na kuonekana mwema na mzalendo wa tz.
 
Back
Top Bottom