Suala la mmiliki feki dowans: Wahariri walihongwa

Duuh! yaani laki tano wakaingia wote mkenge..if true, this is another level
Nikusahihishe mfuatiliaji wahariri wetu watukufu hawakupewa laki tano tano, walipewa laki mbilimbili tu! SHAME ON THEM!!!:blah::blah::blah::blah:
 
Hivi hawa wahariri hata hawana simu zenye kamera?

UNADHANI NI MAKOSA YAO WAHARIRI???? HATA KIDOGO, TATIZO HAWAJUI NINI MATUMIZI YA NEW MEDIA TECHNOLOGY, NI WAVIVU KUWA WABUNIFU, AKILI ZAO ZIMEFIKIA UKOMO YAANI KWA UFUPI HAZIWEZI KUVUKA MTO!!!!!!:spider::spider::spider:
 
huko ndiko journalist huponea,mara nying hupewa bahasha za kaki o njano,hlo hata serikalini wanalijua,ingawa ni rushwa lakini umekuwa utamaduni!hata kuna muda baadh ya wabunge walilalamika kuwa michango yao mjengoni haitolewi kwenye media,kwakuwa hawawapi kitu hao waandish,so kama mwandish unaitambua,kuiheshm na kuheshimu,huwez kudai au kupokea rushwa,
 
Kwa mtu mwenye akili timamu, ni dhahiri kwamba habari ya mmilki feki wa Dowans ilikuwa na kasoro nyingi za kiuandishi. Hata magazeti yaliyo makini kama Mwananchi yaliingizwa mkenge na kuwa na ushabiki. Eti mtu anakuambia anamilki kampuni yenye hadhi kubwa duniani halafu anasema hataki apigwe picha kwa kuwa ni “mfanyabiashara mdogo” na Mhariri anakubali kuandika hivyo. Kingine cha kutia aibu: hivi mwandishi makini au mhariri makini si angeweza kuipata picha ya huyo jamaa nje ya hicho chumba cha mahojiano? Au kampuni hiyo haina tovuti ambako picha ya mmilki wake yupo. Huyo jamaa anasema kwenye taarifa yake kwamba yeye NDIYE MMILKI PEKEE wakati Waziri Ngeleja alituambia wako watatu? Mbona alimtambulisha Stanley Munai kama Afisa tu wa kampuni hiyo na sio mwenye hisa? Pia tunaambiwa jamaa alianza biashara 1977, akiwa Brigedia. Hivi inawezekana? Hizo pesa alizipata wapi akiwa Mwanajeshi wan chi masikini kama Oman?
Kwa ufupi, waandishi na wahariri wa Tanzania wamechakachuliwa. Ni aibu sana. Lakini swali linakuja, kwani ni wapi hakujachakachuliwa?

magazeti yote ya kitanzania siyasomi kasoro moja tu ambalo ni MwanaHALISI.
 
JK aliwahi kusema hivi "AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO" Ule usemi uliuma lakini ulikuwa na maana sanaaaaa. Akili za kuambiwa na AL ADAWI wameshindwa kuchanganya na za kwao. Mwananchi GAZETI NINALOLIHESHIMU nalo linaingia katika wendawazimu wa aina hiyo?????? Tanzania Daima gazeti lililokuwa linakuja juu sasa limebadilika na kuwa wakala wa RA? Lakini ni aibu sana kwa JUKWAA la WAHARIRI kutumika huku wakijua kama wanatumika. Kwanza walimtumikia MENGI REGINALD baadae eti wakadai wamestuka. Sasa wanamtumikia ROSTAM AZIZ na wote mwenyekiti Absalom Kibanda na katibu wake Nevil Meena wa Mwananchi sasa ni mawakala wa pesa tu na kulifanya jukwaa nalo kuwa wakala wa fedha tu!!! Aibu kubwa sana kwa fani ya uandishi wa habari Tanzania. Lakini tukumbuke JANUARI MAKAMBA kiwatumia Meena na Kibanda waliitisha mkutano wa EDITOR'S FORUM pale Mkapa Tower ili January akatangaze kuwa anawania Ubunge. AIBU AIBU AIBU kubwa sanaaaaaaaa. Kwa mtaji huo mnatarajia kuwa kutakuwa na mabadiliko ndani ya fani ya Habari Tanzania????????? Labda mnisaidie lakini mie naona TUENDAKO ni KIZA TOTORO katika fani ya habari!!!!!!:usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Saa nyingine JF inakuwa kama imeingiliwa! Ila ipo siku tutajua dawa ya hao wanaoidhalilisha! Itakuwa ndio siku hiyo hiyo CCM inaanguka!
 
Kwanini unaweka picha ya Kassim Dewji? Jamii Forums siku hizi bwana imejaa mijamaa mingine mipumbavu kabisa!!

anaitwa Absalom Kibanda ambaye pia ni mhariri wa tz daima na umoja magazine.
 
JK aliwahi kusema hivi "AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO" Ule usemi uliuma lakini ulikuwa na maana sanaaaaa. Akili za kuambiwa na AL ADAWI wameshindwa kuchanganya na za kwao. Mwananchi GAZETI NINALOLIHESHIMU nalo linaingia katika wendawazimu wa aina hiyo?????? Tanzania Daima gazeti lililokuwa linakuja juu sasa limebadilika na kuwa wakala wa RA? Lakini ni aibu sana kwa JUKWAA la WAHARIRI kutumika huku wakijua kama wanatumika. Kwanza walimtumikia MENGI REGINALD baadae eti wakadai wamestuka. Sasa wanamtumikia ROSTAM AZIZ na wote mwenyekiti Absalom Kibanda na katibu wake Nevil Meena wa Mwananchi sasa ni mawakala wa pesa tu na kulifanya jukwaa nalo kuwa wakala wa fedha tu!!! Aibu kubwa sana kwa fani ya uandishi wa habari Tanzania. Lakini tukumbuke JANUARI MAKAMBA kiwatumia Meena na Kibanda waliitisha mkutano wa EDITOR'S FORUM pale Mkapa Tower ili January akatangaze kuwa anawania Ubunge. AIBU AIBU AIBU kubwa sanaaaaaaaa. Kwa mtaji huo mnatarajia kuwa kutakuwa na mabadiliko ndani ya fani ya Habari Tanzania????????? Labda mnisaidie lakini mie naona TUENDAKO ni KIZA TOTORO katika fani ya habari!!!!!!:usa2::usa2::usa2::usa2:

Bibikuku, naungana nawe katika hili, sometime inafika mahali mtu unaona aibu kujiita mwandishi hapa Tanzania, uwezi amini kama kwa tuvihela kama utwo mtu mzima na akili zake anauza utu wake na taifa lake!! ni aibu sana.
 
Wanajiandaa kupokea pesa kubwa zaidi kwa ajili ya kumpigia debe Lowassa 2015, Hapo ndiyo utaona waandishi wetu na mafisadi wanavyofana kwa kila kitu.....walaaniwe!
Hata mie ile habari ilinishangaza sana jinsi ilivyokuwa haina mashiko....yaani walishindwa kabisa kupiga picha hata kwa nyuma!!
yaani huyu Rostam sasa ameamua kutuvua nguo na kuzichezea sehemu zetu za siri , wwoote yaani watz woote!!
 
hyu hapa jamaa mwenyewe
_40194912_dewji203ok.jpg

Huyu ni Kassim Dewji bwana, acha kutuyeyusha. Tunamtaka sana huyu jamaa wa Dowans kwa kuwa anataka kuchakachua taifa zima so be serious leta picha halisi tumjue.
 
Sorry: Off topic, why was David Balali's Body was burnt?

Eti jamaa anahojiwa na vyombe vya habari halafu hataki kupigwa picha.

yaani jamaa anatudai Bilioni 94, Asihojiwe hata na Televisheni ya Taifa.

Kuna gazeti moja liliandika MMILIKI WA DOWANS AZUA JAMBO. huyu mwandishi nafikiri alipokea zaidi, Jamaa ni mtaalam wa kuchakachua aisee
 
tena leo nimejiulza sana,je angekua london,nairobi o johanesburg,waandish wasingechua picha?
 
anaitwa Absalom Kibanda ambaye pia ni mhariri wa tz daima na umoja magazine.

Mbowe kama mmiliki wa Tanzania DAIMA, bado anaye huyu Kibanda ofisini kwake kama mhariri wa gazeti lake? ushetani huu wa kuhujumu umma.

itakuwa aibu sana kwa anga nzima la wapambanaji na pia pigo kwa umma kwani juhudi za kufumbua utata wa Dowans utakuwa umepakwa uozo, na pia juhudi za shujaa wa umma Dr Slaa ktk kufumbua macho ya umma kuhusu mmiliki wa kampuni hii ya ki-wizi ya Dowans, itakuwa imevurugwa sana.
umma unajua umiliki wa Dowans upo ktk mikono ya RA akishirikiana na mafisadi wakuu wanaotawala nchi.

mengine yote tunayoendelea kuambiwa na yeyote yule ni 'kuulisha umma upepo' wasioshiba bali wanazidi kujawa na hasira. umma hautadanganyika siku zote.

siku ya siku hata hawa akina Kibanda watatubu mbele ya nguvu ya umma.
 
Back
Top Bottom