Sua sua sua...

Best Mzava

Senior Member
Jul 20, 2012
135
10
Dah wakuu wezangu me kesho narudi zangu arusha kwani nishafulia nimebakiwa na nauli 2,boom cjui wamegoma kutoa,kwa wanasua wenzangu niwatakie masomo mema,ngoja nikajichange kwanza
 
ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili.......na kukimbia tatizo sio dawa ya tatizo.....
 
Back
Top Bottom