SUA ni kweli mnadai malipo kwa mwaka wa kwanza wenye sponsorship 100%

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
119
Nashindwa kuelewa, nina dogo amepata mkopo wa elimu 100% lakini anani ambia wenzake walio tangulia chuoni wanamwambioa anahitajika kwenda na 276,000/= kwa ajili ya malipo ya direct cost!!!!!

Kama hizi taarifa ni sahihi nashindwa kuelewa ni kwa nini haya malipo uongozi wa SUA hauja yaweka bayana kwenye joining instructions yao!!!Na inasemekana kwamba ni lazima ulipe haya malipo ndipo uweze kufanyiwa registration na kupokea pesa ya mkopo.

Sasa kama kwenye joining instruction hamja andika kuhusu hili jambo mzazi ataelewaje kwamba anatakiwa ampatie mwanae hiyo hela?

Na kama mwanafunzi atafika chuoni hana hiyo hela na ana mkopo 100% kwa nini msifanye utaratibu wa kuwa-register na then hiyo hela mkakata kwenye huo mkopo?

Wahusika au mwenye taarifa ya uhakika kuhusu hili naomba msaada wa kulifahamu vizuri jamb0o hili.

Attachment: joining instructions
 
Attachments

  • joininginstructions2012.pdf
    70.3 KB · Views: 75
Kwa nijuavyo direct costs ni tofaut na ada, na mkopo 100% maana yake analipiwa ada yote haihusiani na direct cost.

Direct cost ni michango mbalimbali ya chuo ambayo haihusiani na mkopo
 
hamna kilichoaribika hapo .....inabid afuate kama wanavyosma ww huwz register bila kulipa direct cost hta kama una 100%
 
Nashindwa kuelewa, nina dogo amepata mkopo wa elimu 100% lakini anani ambia wenzake walio tangulia chuoni wanamwambioa anahitajika kwenda na 276,000/= kwa ajili ya malipo ya direct cost!!!!!

Kama hizi taarifa ni sahihi nashindwa kuelewa ni kwa nini haya malipo uongozi wa SUA hauja yaweka bayana kwenye joining instructions yao!!!Na inasemekana kwamba ni lazima ulipe haya malipo ndipo uweze kufanyiwa registration na kupokea pesa ya mkopo.

Sasa kama kwenye joining instruction hamja andika kuhusu hili jambo mzazi ataelewaje kwamba anatakiwa ampatie mwanae hiyo hela?

Na kama mwanafunzi atafika chuoni hana hiyo hela na ana mkopo 100% kwa nini msifanye utaratibu wa kuwa-register na then hiyo hela mkakata kwenye huo mkopo?

Wahusika au mwenye taarifa ya uhakika kuhusu hili naomba msaada wa kulifahamu vizuri jamb0o hili.

Attachment: joining instructions

Kama unaona hiyo hela ni nyingi bac kaanae nyumbani mpaka join instration itakaporekebishwa na kuonesha hiyo pesa
 
Back
Top Bottom