SU 3803 Nissan Civilian

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
59
Hivi hawa madereva wa magari ya serikali wanajiona wapo juu ya sheria, maana leo tumepanga folen ya pantoni limekuja hili gari limejipenyeza mbele kabisa, alivyo sio mstaarabu hata kuomba, matokeo yake kagonga gari la watu then kaendelea kwenda, na mbaya zaidi hata nauli ya kivuko hawalipi. Hebu wandugu nisaidieni ukiendesha gari la serikali ndio ticket ya kuvunja sheria?
 

Attachments

  • Dar%20es%20Salaam-20120803-00785.jpg
    Dar%20es%20Salaam-20120803-00785.jpg
    73.9 KB · Views: 31
  • Dar%20es%20Salaam-20120803-00786.jpg
    Dar%20es%20Salaam-20120803-00786.jpg
    31.5 KB · Views: 30
  • Dar%20es%20Salaam-20120803-00789.jpg
    Dar%20es%20Salaam-20120803-00789.jpg
    35.6 KB · Views: 26
Back
Top Bottom