Style mpya za kudai haki vyuo vikuu.

HAKI USAWA

New Member
Apr 19, 2012
3
1
Baada ya Management za vyoo vikuu (vilivyo vingi) kushinikizwa na serikali kuanza utamaduni wa kufukuza watu kiolela wanapodai haki zao eti wanasiasa na hadi sasa wengi bado wako nyumbani kutoka vyo mbalimbali,
Je wewe kama mtaanzania unashauri wanafunzi wa vyoo vikuu wadaije haki zao ili wapatiwe kwa wakati? Mfano UDOM hawajapata BOOM hadi sasa? Je wafanyeje? maana wakiandamana kwa amani bodi iwape fedha wanaambiwa wana-chadema.
:kev:

Hivi nawe umemaliza haja yako kubwa ya elimu ya juu kwenye moja ya hivyo vyoo vikuu?
 
Back
Top Bottom