Style hii ya kufunga ndoa ni ya kisasa?

laana hiyo,

sasa huyo aliefungishwa nae ndoa atakuwa mke halali au atakuwa mke feki?
 
ujue dunia imeharibika binti alianza ku2mia flex p akiwa na miaka 14 pia keshatoa mimba kadhaa so usipo test validity inaweza kula kwako mazima tena ikiwa dini yako ni ya kikristo.Kwa hiyo sababu kubwa ni validity testing otherwise utauziwa mbuzi kwenye gunia kama jamaa aliyekuta mke wake kajichora jina la jamaa aliyemtoa bikira
 
Back
Top Bottom