Stupid question, stupid answer

1.Amewakuta msibani
< Habari za hapa?
> Kama unavyoziona

< Mnaendeleaje?
> Hakuna shughuli zozote za maendeleo

< Namaanisha nini kinaendelea?
> Maandalizi ya harusi
Qwa qwa qwaaaaah!,naelekea tumbi kutibu mbavu zangu.
 
Uwiiii jamani, stop it mnaziumiza mbavu zangu. uwiiiiiiiiiiiiii
 
Mtu anafika hospital na kukukuta upo kwenye foleni kisha anakuuliza vp unaumwa? unamjibu hapana nauza sura tu na washkaji hapa..
 
Mtu anakuona umeongozana na mke wako mjamzito tumbo kubwa kabisa tena mpo knilini anakuuliza

VP naona mama mambo tayari, unamjibu bado, amekula hamira ndo tunaenda kukaanga maandazi.
tehe teh teheeeh!perfect answer.
 
Mtu anakuona umeongozana na mke wako mjamzito tumbo kubwa kabisa tena mpo knilini anakuuliza

VP naona mama mambo tayari, unamjibu bado, amekula hamira ndo tunaenda kukaanga maandazi.

hahahaa! mkuu hapo umetisha maana hatokuuliza tena ataondoka bila hata kuangalia nyuma
 
Mtu upo ndani ya lift room ya chini kabisa,mtu anakukuta anakuuliza vp unakwenda juu?,unamjibu;[hapana nasubiri chumba changu kishuke toka juu niingie].
Hahahahahaaa!!!!
Hii ni mwisho wa habari kabisa!!
 
Mmekutana njiani...
< Hivi ni wewe au nimekufananisha?
> Itakua ni mimi umenifananisha

< Umepotea sana ndugu yangu,upo kweli?
> Ni kweli nimepotea,ndo naenda kureport polisi wanisaidie kujitafuta

< Mbona una majibu ya kunya hivyo?
> Majibu ya kujamba nimeishiwa yamebaki ya kunya tu
 
{1}Mtu anakukuta unafyatua matofali,anakuuliza;naona unafyatua matofali au vipi?,unamjibu;[hapana,ninaoka mikate!]
{2}Mtu anakukuta unavuta sigara,anakuuliza;na wewe unavuta sigara?,unamjibu;[hapana,hii ni chaki inaungua!].>>
{3}Mkeo anakuta namba ya mwanamke mwingine kwenye simu yako,anang'aka;niambie,na huyu ni nani?,unamjibu;[soma jina lake,si limeandikwa hapo!].

mtu anakukuta sehemu anakuuliza mkuu upo? [hapana, sipo]
 
Mpenzi wako huku akijua wazi kwamba mnaishi mbali mbali anakuuliza;za saa hizi my dear,vp umeshakula?....unamjibu;hapana nakusubiri wewe utoke jikoni uniletee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom