Stupid question, stupid answer

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
{1}Mtu anakukuta unafyatua matofali,anakuuliza;naona unafyatua matofali au vipi?,unamjibu;[hapana,ninaoka mikate!]
{2}Mtu anakukuta unavuta sigara,anakuuliza;na wewe unavuta sigara?,unamjibu;[hapana,hii ni chaki inaungua!].>>
{3}Mkeo anakuta namba ya mwanamke mwingine kwenye simu yako,anang'aka;niambie,na huyu ni nani?,unamjibu;[soma jina lake,si limeandikwa hapo!].
 
mtu umeshafika nyumbani kwake anakuona na anakuuliza vipi umefika? unamjibu bado,mtu anaingia duka la dawa na anakuuliza mnauza madawa,unamjibu hapana tunauza spear za magari.Nalog off
Safi saaana,qwa qwa qwaaah!
 
mtu anakuona dirishani ndani ya basi anakuuliza vp unasafiri mjibu hapana napoteza mda tu humu

Mtu anakuona unaenda library kusoma,anakuuliza vp unaenda kufanya nn,mwambie naenda kucheza sebene,mtu anakuona unaingia mckitin/kanisani anakwambia unaenda kufanya nn,mwambie naenda kula mubia/kulamba povu
 
1.Amewakuta msibani
< Habari za hapa?
> Kama unavyoziona

< Mnaendeleaje?
> Hakuna shughuli zozote za maendeleo

< Namaanisha nini kinaendelea?
> Maandalizi ya harusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom