STUKA!!; Hii tu ndio janja ya CCM!

Ha ha ha ha alishasema vicent Nyerere kuwa badala watembee uchi basi wapokee vitisheti
 
usifanye mchezo na dhiki jamani.
Yeye mwenyewe anafikiri watu wanagombania chama kumbe wanagombea Tshet!!
 
Katika kutangaza chama ni muhimu kuweka mabango, vipeperushi,fulana, kofia, kanga na vitu vingine.

so sioni kama ni tatizo hapo!
 
Ha ha ha ha alishasema vicent Nyerere kuwa badala watembee uchi basi wapokee vitisheti
Mkoani Mara wanaovaa nguo za CCM ni wachache sana. Hata wakipewa bure hawataki. Mpaka hivi sasa hakuna alieenda kujaza fomu za Uongozi wa Serikali za mitaa kupitia CCM.
 
Mkoani Mara wanaovaa nguo za CCM ni wachache sana. Hata wakipewa bure hawataki. Mpaka hivi sasa hakuna alieenda kujaza fomu za Uongozi wa Serikali za mitaa kupitia CCM.
Hapo inabidi Chadema watumie makachero watakaojifanya kuwa ni ccm ili wachukue hizo fomu na kisha kutwaa uongozi wa serikali za mitaa. Chadema wekeni mapandikizi yenu ndani ya ccm ili ife vizuri!!
 
Kila kitu kina life cycle ila hata chadema naona maendeleo bado pia wataona watu wachache pale itakapobadilika..........
 
Hivi ni kweli kwamba ccm pamoja na usheani wote huu bado tu wanataka kuendelea kutawala?
mauaji.jpg
Mauaji ya mwenyekiti wa Chadema!!!
 
Yaani tangu tarehe 5 mwezi 2 mwaka 1977 bado wanatangaza Chama kwa khanga na T shirt? Hatari sana mpaka waje wafike kujitangaza kwa sera na amendeleo Mlima Kilimanjaro utakuwa umefika Dodoma unarudi kwao.
 
Hivi ni kweli kwamba ccm pamoja na usheani wote huu bado tu wanataka kuendelea kutawala?
mauaji.jpg
Mauaji ya mwenyekiti wa Chadema!!!

Yule mtumwa wa ccm aliyetumika katika mauaji haya ya kinyama atiwa nguvuni huko Mkoani Singida akiwa kwa mganga wa kienyeji akiaguliwa!

Ngoja tuone haki huaga ikoje ktk serikali iliyoko madarakani.

Na ameshafikishwa Mkoani Arusha rasmi.
 
Sio kweli. CCM ina Ilani ya uchaguzi. Kwa wote wenye mapenzi na nchi hii wstapima utekelezaji wa ilani ya uchaaguzi.
 
Nakuunga mkono. Inabidi tuheshimu na kumpa privacy marehemu na pia tuheshimu hisia za familia yake hata kama tuna masikitiko na tulimpenda, kumthamini na kuheshimu mchango wake
Lakini si ndio hali halisi ya vitendo vya viongozi wa chama tawala, samaki mmoja kwenye kapu akioza huo uvundo utauvumilia?????

Back
Top Bottom