Study materials kwa ajili ya kujisomea. Msaada wa free downloadable journals and books.

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Wadau wa elimu natumaini mko sawa. Mwenzenu niko ktk field ya elimu. Najaribu kujiendeleza kwa njia ya masafa. Nasoma M. Ed (Adm, Planning & policy Studies- open university) Material ya 'education policy, education planning, educational administration, economics of edn, na mengine yanayohusu education yananipa taabu. Kwa vile nina ka lap top na moderm mkinisaidia web address za kupata hayo material ntashukuru sana. Msaada please. Am a t'cha working in remote areas (mazingira magumu)
 
Ebokee.org ni free na wana vitabu vingi sana, njia nyingine ni kutype search bar jina la kitabu likiishia na neno pdf eg " kusadikika pdf"
 
Back
Top Bottom