"studio studio"wakata kiu wote wa mzumbe university mpoo?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,856
6,215
Heshima kwenu wote na poleni na mihangaiko ya kila siku,

Jamani kama kuna wajumbe mliopitia mzumbe university main campus najua tumeelewana sana kuhusu hiyo kitu inaitwa KIU

Binafsi ilikuwa inanikera sana enzi za first year nina mzuka wa chuo huku bado nina kiburi cha ma cutt of point ya form six lakini
nilivyo report campus tu usiku wake nikakutana na kitu tofauti mara mjumbee mjumbeee... ambacho kilinifanya nicheke sana na
kupoteza mawazo yangu yote, wajumbe wote tuliopita mzumbeni tujikumbushe ur experience na hii kitu, kama mnakumbuka
hilo post ya kuwaponda wakata kiu 2007 iliyobandikwa chuo kizima yenye title Hongereni sana wakata kiu" iliyosababishwa nisakwe

sana na wadau, ni mimi ndo niliiandika na nashukuru hadi namaliza hawakunipata... Missing campus life alot​
 
nduka yaelekea haukusoma mzumbe, umevamia post, coz kama ungekuwa umesoma that post, usingejibu hivyo, hiyo ilikuwa mojawapo ya campus experience ya kutaniana sasa nashangaa ulivyovamia wakati hujui hata KIU ni nini...

Watafute uliosoma nao mjikumbushe experience zenu...
 
nduka yaelekea haukusoma mzumbe, umevamia post, coz kama ungekuwa umesoma that post, usingejibu hivyo, hiyo ilikuwa mojawapo ya campus experience ya kutaniana sasa nashangaa ulivyovamia wakati hujui hata KIU ni nini...

Watafute uliosoma nao mjikumbushe experience zenu...

Ni kweli sikusoma hapo. hii ni kwa kuwa nilifaulu sana form six, lakini kwenda kuwaanika wakata KIU ni U SNITCH kwa hiyo wewe ni SNITCH
 
Ni kweli sikusoma hapo. hii ni kwa kuwa nilifaulu sana form six, lakini kwenda kuwaanika wakata KIU ni U SNITCH kwa hiyo wewe ni SNITCH...


Ndo maana nikagundua haukusoma hapo, hiyo post ilikuwa ni part of the KIU sema iliwajibu waliokuwa wanatuponda first year, enzi hizo wanatuita

form one, eti hatuna haki , so ilikuwa ni ujumbe wa kuonyesha na sisi tunaweza hiyo kitu, haikumtaja mtu jina wala kumtukana na mtu zaidi ya kuwajibu waliokuwa wanaponda form one,

So naomba ufute kauli yako, Najua ulifaulu sana form six kama unavyosema but ujue hata wakata kiu tulifaulu pia tena with flying colours,

Kiasi cha kuchaguliwa popote tulipotaka kwenda hapa... and mzumbe was our choice
 
Back
Top Bottom