Students with loans but subjected to veryfication

tayari wanamkopo ambao wamepewa, wanachotaka body ni uhakika kutoka kwao kwamba ndio wanaanza masomo ktk mwaka wa masomo 2012/13
wako 602.

naona mwaka huu wameamua kuwakumbuka hawa jamaa,maana mwaka jana walikua 823 na wakapgwa chini wote.
 
verification inakuaje, nini kinatakiwa na wapi una verify?. Maana cmu za heslb hazipokelewi.
 
cio kwamba nakujibu wewe uliyepost kwa mara ya mwisho lkn nawajibu wote ambao mnabishi hawa sio yatima hemu kwanza mgoogle huyu jamaa(Enock diocles) muone alimaliza mwaka gani afu muone ka akumaliza form 6 2012 afu yumo kwenye hiyo list,,,huyu ni jamaa yangu na hana wazazi wote
 
Oya sikilizeni niwaambieni ninyi msiojua,hao wote wanaohitaji verification ni kuwa walishawai kupata mkopo kipindi cha nyuma bt mkopo ukasitishwa coz (MAY BE KUACHA CHUO,KUDISCO etc) na mwaka huu wameomba tena kupitita TCU na OLAS imewadetect,Kuna watu kibao nawaona hapo ambao walidisco 2010/2011 chuo flani and as far as i knw wanawazazi km kawa.PESA YA SERIKALI HAIPOTEI OVYO WAMEJIINGIZA KWENYE SYSTEM WENYEWE,WATALIPA PESA ZOOTE ATA HIZO ZA NYUMA.NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom