Students relationship

jossey1979

Senior Member
Apr 28, 2008
172
39
Ni halali kwa wanafunzi wa secondari kuwa na mahusiano haya?
 
Attachments

  • send them 2 school 2 learn.doc
    59 KB · Views: 286
si mchezo ndo yanayoendelea huko mashuleni????
 
My God!! but hii picha imenikumbusha Mbali sana!! hii Tulikua tunaita '' Dark cornering'' kuna mshkaji alinaswa na Demu wake jamaa akakimbia akamuacha demu. Demu akabanwa ikabidi amtaje mskaji and he was suspended indefinately!!!
 
Whaaaaaaaaaat???? mmmmm hao wanafunzi nao wameshinda!!! demu hata hamuoni mpiga picha!!! anajisikilizia utamu!!!!!;)
 
My God!! but hii picha imenikumbusha Mbali sana!! hii Tulikua tunaita '' Dark cornering'' kuna mshkaji alinaswa na Demu wake jamaa akakimbia akamuacha demu. Demu akabanwa ikabidi amtaje mskaji and he was suspended indefinately!!!

Vya chap chap ni vitamu je wewe ulikuwa unavuonaje vivian
 
si mchezo ndo yanayoendelea huko mashuleni????

Mbona haya ni madogo? Kuna jamaa yangu aliitwa kusilikiliza kesi ya mtoto wa ndugu yake (yeye ndiye alikuwa mlezi wake), na kuambiwa kuwa wakati wa lunch, huyo mtoto aliamua kukamua darasani mbele ya wenzake. Nasikia alikuwa anapigiwa makofi kama Star anayeenda kupokea Oscar award! Mtoto akafukuzwa shule na huyo ndugu yangu akaamua kumbemba na kumrudisha kijijini mara moja. Hakutaka hata kumfikisha nyumbani kwake kwa sababu ana mabinti 2. Kwa hiyo yapo mengi tu huko shuleni sema tu hatuyaoni wala kuyasikia.
 
So disgusting!!!
 
Hii kitu siajawahi fanya! nimemjua mwanaume nikiwa chuo!!! some 4yrs back. najua hutaamini but thats the fact!!

Jaribu siku moja cha chap chap uskisikilizie siyo lazima shuleni unaweza fanya supp!
 
My dignity doesnt allow!!! You mean you still do those things??? Just be frank Kabweka. kwahiyo wewe mummy unambamiza kwenye ka uchochoro na kula Tunda!! LOL
 
Kabla hamjapata watoto si unamtaimu kwenye korido nyumbani unampa cha chap chap
 
Hii kitu siajawahi fanya! nimemjua mwanaume nikiwa chuo!!! some 4yrs back. najua hutaamini but thats the fact!!

Siamini kwamba ulishindwa kusubiri zaidi mpaka utakapoolewa...unless ndo ulikuwa umeolewa! Na hapo sitashanga kwani ndivyo inavyotakiwa...
 
Quite difficult myfriend!! yaani kitendo cha kuruka viunzi mpaka sekondari, najiona kama vile bado sijaguswa!! in todays world haya mambo ni magumu! tena sana! just say congrats to me meeen!!! tena unafaa unibonyezee kabani bana
 
ha ha ha ha!
na zile biils zako za dola mia sita kwa mwezi STILL MTU AKUANGALIE TU!:D
 
Najua Geoff hujanisoma! What am saying niruka viunzi, nilipofika chuo mambo yakaenda ndivyo sivyo!! ila mzee memory yako inatisha!!
 
ha ha ha ha ha!
jumamos chawote,au vipi
tutaongea zaidi tukikutana
 
Ni halali kwa wanafunzi wa secondari kuwa na mahusiano haya?

halafu wakishaonja ngumu sna kuacha maana hapo hawawezi kutijawala huyo anakuwa ni wa shuleni na mtaani anaye pia wa kumbania kwenye kona na hizi za chap chap huwa hazina kuchukua tahadhari magonjwa njenje wana utakuta vitoto kama hivi siku hizi vikiugua havitaki kupelekwa hosp na wazazi tena maana vinajua vina STD wazazi watashangaa akirudi nyumani anamwambia mzazi anaumwa na malari au magonjwa ya tumbo, kazi kweli kweli
 
My God!! but hii picha imenikumbusha Mbali sana!! hii Tulikua tunaita '' Dark cornering'' kuna mshkaji alinaswa na Demu wake jamaa akakimbia akamuacha demu. Demu akabanwa ikabidi amtaje mskaji and he was suspended indefinately!!!

sisi tulikuwa tunaiita shaa shaaa...
kuna jamaa walifumwa, wakabaki wakisema shikamoo mwalimu mara nne nne
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom