Students from Kenya perform better in Kiswahili than those from Tanzania

nimpitia hiyo link... mkenya mzalendo ana point! .. kiswahili sisi wenyewe wa tanzania tuna kiharibu na maneno ya kimtaani... mwisho wa siku wageni wengi wanaishia mombasa kwenda kujifunza kiswahili fasihi.. wa tanzania tuamke leoo hii kuna neno haina majotrooo! that's rubbish

Kila lugha ina slang mkuu,,hiyo ndo ishara kuwa lugha inakuwa,,hata kingereza kila uchwao maneno mapya yanibuka..!
 
Kama mtihani ulitungwa na wakenya kwa standard ya kiswahili cha kenya na kusahihishwa na wakenya hakuna mtanzania anayeweza kufaulu kiswahili kile. Walete hao watoto wao waje kufanya mtihani wa kiswahili cha Tanzania pamoja na watoto wa kitanzania then tunaweza kujadili matokeo hapa
 
Haya wazee wa written swahili.. comparison yenyewe iliyofanywa kwa kulinganisha wanaofaulu kiswahili kwenye nchi zote mbili, research ya kijinga kama hiyo anayepoteza muda kufuatilia nani? its obvious mtihani wa mbongo huwezi mpa mkenya akapata hata 10 no offense.. kusema wakenya wako safi kwenye kiswahili z a lie, labda unambie wakenya nlokutana nao mimi wanapewa exception...
 
Kama mtihani ulitungwa na wakenya kwa standard ya kiswahili cha kenya na kusahihishwa na wakenya hakuna mtanzania anayeweza kufaulu kiswahili kile. Walete hao watoto wao waje kufanya mtihani wa kiswahili cha Tanzania pamoja na watoto wa kitanzania then tunaweza kujadili matokeo hapa

nimemkumbuka hayati mwalimu saanane,mwalimu wangu wa kiswahili na bingwa wa kuuza machapisho ya somo la kiswahili secondary mbalimbali jijini dsm.hiyo ilikuwa ni mwaka 1998-2002.
 
Question standard kiswahili ni kipi ambacho kinakubalika na wasomi wa lugha EA na kwengineko?
 
There are about 15 main Swahili
dialects, as well as several pidgin forms
in use. The three most important
dialects are kiUnguja (or Kiunguja),
spoken on Zanzibar and in the
mainland areas of Tanzania; kiMvita (or
Kimvita), spoken in Mombasa and other
areas of Kenya; and kiAmu (or Kiamu),
spoken on the island of Lamu and
adjoining parts of the coast. Standard
Swahili is based on the kiUnguja
dialect.
 
Lugha linalotumika sana hapo Nairobi ni "shenghttp://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slang".
Sheng http://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slangNdiyo sababu Wa Nairobi wengi hawasemi Kiswahili sanifu. Ukisema Kiswahili sanifu hapo Nairobi, wengine watasema unajigamba.
Lakini kusoma na kufahamu Kiswahili sanifu siyo problem kwa Wa-Nairobi. Mimi moja wao. Tangu utotoni mpaka leo I count sheng http://en.wikipedia.org/wiki/Sheng_slangas my primary language

Kuna kiswahili fasaha na kiswahili sanifu, kiswahili fasaha ni kigumu hata watanzania wengi hawakiwezi na wanaokijua kukitumia mi shida,

wanaokiweza ni wale wasomi wa lugha ya kiswahili,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom