Stuart Peace applied for Taifa Stars Job

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Huyu ameomba kazi ya kuifundisha Taifa Stars mara mkataba ya Maximo utakapoisha baadae mwaka huu.Wadau wa soka mwaonaje je kocha huyu ataleta mafanikio?

Source: Dimba la Leo 20 Jan. 2009


stuart-pearce-260x400.jpg


Pata wasifu wa kocha huyu wa England U-21 Team [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Stuart_Pearce"]hapa [/ame]
 
Bonyeza hapa pia utasoma wasifu wa jamaa, jamaa ni mkali sana sasa kama akipata kazi hii duh shughuli itakuwa pevu kwa wachezaji wavivu. ila nafikiri mshahara wa 45,000 pounds kwa wiki tutaweza? kwa sisi tumezoea kwa mwezi ni 180,000 pounds. ukibadilisha kwa hela ya tanzania ni kama 432million kwa Mwezi.

Kifupi wazo lako haliwezekani.


[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Stuart_Pearce[/ame]
 
nitashangaa sana kama Stuart ataacha kazi yake ya England under 21 aje afundishe bongo, he was highly paid and he is comfortable in UK... unless kuna kitu kinatafutwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom