Struggling To Abstain

Dada kwani weye hukuwa na kungwi/somo wakati unaolewa? au hata shangazi? mbona kuna mbinu mbadala zinazokubalika hasa kwa wakati kama huo?
Hi ! mama hujambo? long time heeh
MJ1 makungwi na masomo , zamani siyo sasa.
La msingi hapo afanye masturbation.It is vey health, it helps a man/woman 2 relax.Asikutishe mtu kuwa ina madhara,unatakiwa tu kuwa imaginative . Inasaidia sana hasa kwenye zama hizi za HIV/AIDS. Madiba alitumia sana hii technique.
 
MJ1 ,kama hizo mbinu mbadala zinafundishika public bora zitaje kwa faida ya wengi.Kuna wengine hapa hawajaolewa bado na wanahitaji kuabstain na wengine wameolewa lakn hawakupata bahati ya kuwa na kungwi.
Lakini kama ni mambo ya chumbani sana basi ruhusu watu wakuPM kwa ushauri zaidi.

Mpendwa usijali njia mbadala ninazozizungumzia ni
1. Kwanza kufanya mazoezi ili kuuchosha mwili (kusuppress hisia za kufanya ngono)
2. Kujaribu kucontrol mawazo yake but ikishindikana
3. Kuoga maji moto (unakuwa kama unajikanda taratibu) hawa wakati wa jioni kuoga jioni.
 
Thanks.Loud and clear.
Ila hao wanaosema masturbation wana lao jambo.what if ukawa addicted /affected psychologically na mastrurbation na mmeo ukaona hafai tena?
Na haya mambo kumbe yanasehemu kubwa ya MAWAZO.unawza kuamua kutawala mawazo yako na hisia pia.
 
yashinde majaribu Mpendwa .

Lakini kwani wewe na mmeo mnaonana mala ngapi kwa mwaka??
 
Thanks.Loud and clear.
Ila hao wanaosema masturbation wana lao jambo.what if ukawa addicted /affected psychologically na mastrurbation na mmeo ukaona hafai tena?
Na haya mambo kumbe yanasehemu kubwa ya MAWAZO.unawza kuamua kutawala mawazo yako na hisia pia.

Ukichunguza sana charity hiyo ya maji moto ni aina ya masturbation kwani kazi yake kuu ni kupunguza mhemko/ashki ya kufanya ngono. Tofauti yake ni kwamba haihusishi fantasies na wala haiendi deep. Unakuwa kama unafanya cleansing tu ya kawaida.
 
Sasa huo ni ushauri ama? Yaani unamtaka awe responsible na her own orgasm? lol..

Kazi hipo
sasa nini cha kuchekesha hapo... ofcourse she should be responsible on her own orgasm... kazi gani sasa hapo.... mbona is very easy...
 
Mpendwa usijali njia mbadala ninazozizungumzia ni
1. Kwanza kufanya mazoezi ili kuuchosha mwili (kusuppress hisia za kufanya ngono)
2. Kujaribu kucontrol mawazo yake but ikishindikana
3. Kuoga maji moto (unakuwa kama unajikanda taratibu) hawa wakati wa jioni kuoga jioni.

Thanks MJ

Busara zako ni mali sana... hii ya mbadala nilimpa huyu binti na ile tu ya kusali na kukaa karibu na ndugu zaidi ili kuondoa mawazo ya vichocheo vya mwili

But i am still very unclear kwanini hajashare na mwenza kwamba hawezi kukaa mwenyewe bila abdala kichwa wazi?? kwanini wasiende wote?
 
Thanks.Loud and clear.
Ila hao wanaosema masturbation wana lao jambo.what if ukawa addicted /affected psychologically na mastrurbation na mmeo ukaona hafai tena?
Na haya mambo kumbe yanasehemu kubwa ya MAWAZO.unawza kuamua kutawala mawazo yako na hisia pia.
Charity how can masturbation affect you psychologically?... it only make u feel relaxed and the sexually desire decreases to some point but it can never be a substitute to the real thing....she can use her imagination and imagine her husband on her bed or on her... thts how it works...I dont see whats wrong with that... its safer than being unfaithful .
 
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.

Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.

Unagopa maradhi kwani una ALLERGY na condom?
 
Dada kwani weye hukuwa na kungwi/somo wakati unaolewa? au hata shangazi? mbona kuna mbinu mbadala zinazokubalika hasa kwa wakati kama huo?

Hebu msaidie hizo mbinu dada wa watu kabla watu hawajamtia majaribuni huko kwenye PM!
icon10.gif
 
Thanks MJ

Busara zako ni mali sana... hii ya mbadala nilimpa huyu binti na ile tu ya kusali na kukaa karibu na ndugu zaidi ili kuondoa mawazo ya vichocheo vya mwili

But i am still very unclear kwanini hajashare na mwenza kwamba hawezi kukaa mwenyewe bila abdala kichwa wazi?? kwanini wasiende wote?

De Novo aksante.

ni kweli swali lako ni la msingi sana na tungetegemea kuwa kwa kipindi cha mpaka kuoana watakuwa wameshafahamiana huku shemeji akijua fika kuwa dada hahimili kukaa bila kudumishiwa chama cha wasioona. Kuna walakini hapa unless aatwambie ni boyfriend ambaye hawajafahamiana sana.

Lakini pia inategemea na mtu na mtu De Novo- mwingine wezamwambia madhaifu yako akakufrustrate zaidi. Namfahamu dada mmoja aliyekuwa muwazi sana kwa mumewe kiasi cha kumweleza kuwa anasumbuliwa sana na Ex- wake yaani boyfriend wake. Badala ya mume kumsaidia, kila mara akawa anamshutumu kuwa anagawa kwa Ex. Pengine the same applied kwa hapa anaogopa akimwambia Mr. hali yake Mr. anaweza akawa anajijengea taswira kichwani kuwa mwenzi wake anadungwa. Na kama ujuavyo hisia huua mapenzi.
 
But i am still very unclear kwanini hajashare na mwenza kwamba hawezi kukaa mwenyewe bila abdala kichwa wazi?? kwanini wasiende wote?

De Novo... why u think that is important? kwani lazima huyu dada amfate mumewe huko alipo... labda dhurufu haziwaruhusu kuwa pamoja.. it happens sometimes but one should be patience.
 
Charity how can masturbation affect you psychologically?... it only make u feel relaxed and the sexually desire decreases to some point but it can never be a substitute to the real thing....she can use her imagination and imagine her husband on her bed or on her... thts how it works...I dont see whats wrong with that... its safer than being unfaithful .

Not necessarily her husband, but even those men whose bodies tempt her in official meetings!
icon10.gif
 
Back
Top Bottom