“Strong Blood Ties” Vs “Strong Love Ties”

nadhani mzazi mwenye hekima anajitahidi kwa kila hali kutoonesha upendeleo kwa baadhi ya watoto.bt with time unajua kabisa wanakua wanategemea zaidi kutoka kwa mtoto huyu (coz of iq,matokeo mazuri shuleni etc). though badae sana wanakuja kugundua pengine umdhaniaye ndie siye (mj1 aliongelea hapa heshima ya mtoto wa kiume kuliko wa kike,bt baadae mtoto wa kike ndo anasaidia ama kutoa tafu kuliko aliyetegemewa). nili-notice dadangu kuitwa 'mama', spoiled brat like NN, bt maybe aftr 3 boys a lil gal was such a bundle of joy. lakini kupendana was the 11th commandment in the house. kiasi kwamba hata ukichokozwa,ukarusha kofi ama say a bad word utaadhibiwa pia kwa sababu violence was nt among the choice of solutions. so,nadhani wazazi walikua na sehemu kubwa sana ya kuhakikisha upendo unakuwepo. oh,nakumbuka nikiwa std 1,my grandma alikua mzee sana. lakini was always telling us abt loving each other.madingi nao walikua wanaambiwa wawasiliane sana blah blah!

Wifi King... now this is what I am talking about!!! Unaona the way red ina shabihiana vizuri na blue?? Pamoja na kusema kua some of you were spoiled in the family.... Family comes First! Putting Kupendana as the 11 Commandment was a really big infuluence kwa nyie kama watoto kuelewa kua kuwa karibu na kujaliana ni lazima... Labda nikuulize; how has your family turned out?? Yaani if the parents wasingeweka hio effort do you believe ingekua tofauti?? Na if you don't mind how did you feel when young (acha saizi you have grown and understand) kuona kama your sis alikua kama anapendwa zaidi??

wifi,i will say this over and over again! u ar a jelly good mother and a superb wife, leave alone the obvious fact that u ar a good wifi too! i lov the way u handled these two! hawa wapwa zako 5 wakifunga shule tu ntawafukuzia kwako,mungu awasaidie lile ghorofa lenu likamilike salama.

Your wish is my command... na unajua the way i like it kids wakikutana na wangu... inawajengea kuzoeana na kujaliana huko mbeleni... Sio watoto wanakua ndugu jina but do not understand each other.... Lile ghorofa bado niko kumshawishi kakako tuishi sie kagusia kua kapata kampuni inataka kukodi.... I am kind of Mad....lol... (makabila mengine bana!)
 
nilichotaka kusema ni kuwa inawezekana culture zetu haziruhusu 'namna fulani'

ya kuonesha mapenzi kwa wanafamilia.......ingawa tunabadilika siku hizi.....

kuna mtu yeyote humu above 30 ambae anakumbuka kumuona baba yake 'akim busu 'mama yake

katika siku ambayo haikuwa harusi wala birthday hivi????/
 
People need strong family ties to feel loved and safe in this world. The world of today is the world of scientific innovation and it's changing at a very fast pace, these good changes have unfortunately led to many changes which are not good, many people do not consider it necessary to live with those people with whom they have blood ties, although this might have some positive effects such as the number of dependents.

Ngoja niishie hapa kwa sasa namuwahi paroko kanisani nikatubu dhambi zangu.

PA will be right back nikiwa nimeishatubu dhambi
 
C'mon Boss you have got to be kidding me... mbona hio ipo wazi saana ya wazazi kupenda mtoto mmoja kuliko mwingine.. Thou naona nikubali na hio ya culture... kwa wababa wakuoa more than one wife hasa hizi ndoa za Kiislam hio ya kumfavor mtoto mmoja hua at minimal compared na familia ambazo ni Mke mmoja.... Watoto wakiishi nyumba moja with their parents mbona mara nyingi kunakua na ile ya kupenda mtoto fulani kuliko the other... Hilo swali umeuliza... Mie nimeshuhudia.... thou ni ile not ileeeee.....
 
People need strong family ties to feel loved and safe in this world. The world of today is the world of scientific innovation and it's changing at a very fast pace, these good changes have unfortunately led to many changes which are not good, many people do not consider it necessary to live with those people with whom they have blood ties, although this might have some positive effects such as the number of dependents.

Ngoja niishie hapa kwa sasa namuwahi paroko kanisani nikatubu dhambi zangu.

PA will be right back nikiwa nimeishatubu dhambi

PA leo lazima ulipe faini
Ulikuwa wapi aise nimekutafuta hivyo au ulienda kwenye ile nyumba ndogo.
Ahh nimepata picha ndo maana unamuwahi paroko kutubu sambi sako
Mambo mkuu
(AshaDii samahani nimechakachua siredi)
 
PA That's the thing… one of the things I admire always in our Africanism is the Close family ties we historically had and maintained… and as you have said it is all changing and in most cases for the worst… Bahati mbaya saana yaaani watu kwenda na usasa kweli inatakiwa; ila kitendo cha kutaka badilisha our roots kwa ku adapt kila kitu hata ambacho hakifai… tunatiwa huruma… Kuna zile African principles ambazo kweli kabisa wanajamii have to understand kua hazitakiwi kubadilika…. INASIKITISHA….

That aside… for us to be better parents have to understand this… and make our families better… PA kaniombee namimi nisamehewe for it has been a while…. Thank you for passing by….
 
QUOTE=The Boss;2619762]nilichotaka kusema ni kuwa inawezekana culture zetu haziruhusu 'namna fulani'

ya kuonesha mapenzi kwa wanafamilia.......ingawa tunabadilika siku hizi.....

kuna mtu yeyote humu above 30 ambae anakumbuka kumuona baba yake 'akim busu 'mama yake

katika siku ambayo haikuwa harusi wala birthday hivi????/[/QUOTE]

Boss duh pagumu sana hapo
Sijawahi mwona baba akimkiss mama may be wanafanyia rum kwao huko ila wazi sijawahi shuhudia
 
QUOTE=The Boss;2619762]nilichotaka kusema ni kuwa inawezekana culture zetu haziruhusu 'namna fulani'

ya kuonesha mapenzi kwa wanafamilia.......ingawa tunabadilika siku hizi.....

kuna mtu yeyote humu above 30 ambae anakumbuka kumuona baba yake 'akim busu 'mama yake

katika siku ambayo haikuwa harusi wala birthday hivi????/

Boss duh pagumu sana hapo
Sijawahi mwona baba akimkiss mama may be wanafanyia rum kwao huko ila wazi sijawahi shuhudia[/QUOTE]

umeonaaa ehhh?
lakini probably utakuwa umemuona akimfokea au hata kumpiga....

isnt it funny???????
 
the finest
utatufukuzuia wachangiaji humu na lugha unayotumia lol
rudi BAKITA lol
 
PA leo lazima ulipe faini
Ulikuwa wapi aise nimekutafuta hivyo au ulienda kwenye ile nyumba ndogo.
Ahh nimepata picha ndo maana unamuwahi paroko kutubu sambi sako
Mambo mkuu
(AshaDii samahani nimechakachua siredi)

PA hakwalify kua na nyumba ndogo... maana hata kiwanja hajanunua kwa sasa... acha kumpa misifa....lol... Kuchakachua inaruhusiwa... BUT iwe ndani ya topic....
 
Boss duh pagumu sana hapo
Sijawahi mwona baba akimkiss mama may be wanafanyia rum kwao huko ila wazi sijawahi shuhudia

umeonaaa ehhh?
lakini probably utakuwa umemuona akimfokea au hata kumpiga....

isnt it funny???????[/QUOTE]
Kufokeana yeah nimeshuhudia mara nyingi sana
Hata ile ya baba kumkumbatia mtoto wake kwa furaha haipo. I think hii inaleta sana ile watoto kumpenda sana maam kuliko baba maana mama yuko karibu sana na watoto kuwatuliza, kuwapa moyo hata wanapokata tamaa au kugombezwa, kuwabembeleza and so on.
Sorry nje ya mada lol
 
umeonaaa ehhh?
lakini probably utakuwa umemuona akimfokea au hata kumpiga....

isnt it funny???????

Yaani angle zako huwa zinanimaliza... Ziko so original na applicable to most.... Hapo ni the Majority na nimeshuhudia in many families... SAD.
 
Hii inakuwaga rahisi sana kwa zile familia za mama mmoja, baba mmoja. Ila kwa zile za ki-polygamy kwakweli ni ngumu kuwafanya wote waheshimiane!

Kweli kabisa kipipi na hata mimi nimeliona hilo na kulizungumzia post # 26
 
PA hakwalify kua na nyumba ndogo... maana hata kiwanja hajanunua kwa sasa... acha kumpa misifa....lol... Kuchakachua inaruhusiwa... BUT iwe ndani ya topic....

Asante sana kwa taarifa
Nitaheshimu hilo na ahhh mbona unamtetea
Sasa anaenda kutubu nini kwa baba paroko
AshaDii unaweza kuukataa upendo unaopewa na wazazi au mzazi wako. Ukadai kuwa haki itendeke kwa wote na usipendwe peke yako baada ya kuona hali kama hiyo
 
Ngabu appreciated for the submission… and your post leaves me no angle of which I can ask anything further…. Ila aside from the post… I have confidence you do not live in seclusion and that you have seen/observed other families live… by means of that as a foundation of information what can you say…

For what they are worth here are my two cents. If I am way off base please don't hesitate to let me know.

I am of the opinion that it is imperative, as a parent, to treat your children lovingly and fairly. Don't show any favoritism for its negative impact could be un-doable.

As a responsible and loving parent, it is your fatherly or motherly duty to instill in your children the values and morals necessary to make them good human beings. Teach them the basic life skills that are needed to lead a simple but good life. I have colleagues of mine that lack these skills. One colleague, she is in her early 40s and she doesn't even know how to go look for a place to stay e.g. an apartment or condo. As incredible as it may sound, it is true!

From an early age tell them that kind actions do cause kind reactions. Teach them about the golden rule. Remind them that their blood relationship is the lynchpin, the be-all and end-all of their existence. Make sure you belabor this point throughout. Trust me, this is a tried and true method if you want to instill some lifelong values.

No amount of money or material things can top the values, morals, and basic life skills that you will instill in your children. Therefore, I believe, if you leave such a legacy behind the rest is corollary.
 
Nimejifunza mengi kwenye hii thread.
Kuna vitu vimenikumbusha wakati nipo mtoto nilivyokuwa nadeka kwa baba lakini kwa mama ilikuwa tofauti
 
For what they are worth here are my two cents. If I am way off base please don't hesitate to let me know.

I am of the opinion that it is imperative, as a parent, to treat your children lovingly and fairly. Don't show any favoritism for its negative impact could be un-doable.

As a responsible and loving parent, it is your fatherly or motherly duty to instill in your children the values and morals necessary to make them good human beings. Teach them the basic life skills that are needed to lead a simple but good life. I have colleagues of mine that lack these skills. One colleague, she is in her early 40s and she doesn't even know how to go look for a place to stay e.g. an apartment or condo. As incredible as it may sound, it is true!

From an early age tell them that kind actions do cause kind reactions. Teach them about the golden rule. Remind them that their blood relationship is the lynchpin, the be-all and end-all of their existence. Make sure you belabor this point throughout. Trust me, this is a tried and true method if you want to instill some lifelong values.

No amount of money or material things can top the values, morals, and basic life skills that you will instill in your children. Therefore, I believe, if you leave such a legacy behind the rest is corollary.

This is a discerning post Ngabu… And has straightforwardly or should I say obliquely explained how the any parent can positively or negatively influence a child's approach and stance towards life… Things like being self-dependent are really crucial for one to have a stone hard stance… towards life existence and its all interconnected activities that influences our life… I cannot envisage to be that inadequate at age 40…. Maybe it is because some of us did not have the audacity to do so when growing up… it is Sad even if you are well off to be that useless…

I like what you have said on the first long paragraph… it makes a lot of sagacity and the post sort of alets me and pencil-rubs my first admittance on the earliest post on the topic as a little spoiled Brat! For if you deem or should I say already perceive of what you have just posted that means you can fend and stand for yourself…. Hivo wazazi as much as they had spoiled you… did an incredible work!!

And were you serious saying you would be Off base with this!! Dah....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom