Strip and Gentlemen Club in Dar!

Ndugu Kelly01 umesema Doctor wako atapima HIV lakini hujajibu kama na wateja watapimwa.

Plus umesema aim ni kwa mabachela hili nalo utatumia kipimo gani kujua? Maana kuna ishu za ndoa za watu.

Still hujaprove jinsi ambavyo uta-protect health za watu. Coz kuna watu HIV huchukua muda kuonyesha so ni very risky kwa afya za watu. Nadhani huko ulaya umeona biashara nyingi tu chagua nyingine.

Hata kama ni sehemu za starehe chagua ya namna nyingine. Pesa isiondoe utu wako
 
sio h.i.v peke yake ya kuogopa hapa.tukitoa kibali kwa kelly hujue kila mtu atataka kufanya hili swala na itatambaa tanzania nzima.hapa cha kulinda ni maadili yetu hatujafikia kutoa vibali kwenye vitu kama hivi.na kama itaruhusiwa basi hujue wataoathirika ni dada zetu sana sana wanafunzi kwani wataona hii ndio njia rahisi ya kujipatia kipato lakini ukweli ni kujizalilisha tu.
kama kweli una kipato kizuri na kama hakitoshi unaweza kukopa benki hapo ulipo na ukafungua huko huko ulipo utatengeneza hela nyingi tu.
naona lakini tunajifurahisha tu hapa kujadili sidhani kama serikali inaweza kuruhusu kitu kama hiki.
 
You can think to all extremes. If the issue is business ideas, there are so many. If this is the best you think you need to implement, it's your choice. Just ask yourself a question; how will this business benefit my fellow Tanzanians? Looking back 50 years from now, would I be proud of what I have done? If you're happy pursue it.

I personally dont think this adds any value to the kids of this country. I wouldn't have a positive response to your question therefore. I'd rather urge you to invest in education for our people or agriculture to help eradicate poverty.
 
Qemu This is mostly intended for bachelors and bachlorrete only!....if you knwo what i mean....kama marrie di am sure utakuwa na tahadhari ya kurudi home after late hours.....na ikiwezekana inabidi umjulishe your significant others ila usilete kasheshe at work place....(stricylt business)

Hiyo Research nimeshafanya tayari usiwe na shaka m2wangu!...and thanks for your concerns/advice..you are such a nice people.....

Hiyo research uliyofanya ni sheria gani Tanzania inaruhusu such businesses???
 
Kelly hii idea mwenyewe nishaipresent kwa vibopa hapo bongo wakanitoa nduki na mikashfa kibao kuwa sina adabu/maadili/heshima, ila bado sijakata tamaa. Mimi nafikiria kufungua Dodoma uko karibia na bungeni najua sitokosa soko.

Great mind think alike...we need to takl aisee!....what do you think?.....i knwo that is the issue i am goign thru wit right now.....na bado sijakata tamaa....
Kelly,
Ukifanikiwa basi nipe tip za mwanasheria wako ili na mie nifungue SEX SHOP kama hii aliyotembelea Michuzi.... Au tayari Wahindi na Wachina wameshaanzisha? Ni vema kuwafahamu washindani wako.

STA70161-1.jpg

usikonde...i will do so mtani....

jamani thank you!thank you all for your advice and concerns....i know kuna vitu vingi sana vya kufuatiliya and stuff bisashara hii siyo kama ndiyo inafanyika overnight kuna vipendegele vingi sana vya kufanya...ila nimeendezewa na thoughts zenu and i will take them into consideration..thank you all najua its hard kumjibu each and everyone of you but many thanks to all Koba,Kevo,Shishye,Arsenal W,Mzee wa Punch,Son of alaska,The Boss (darling),Kibs and all ambao sijawataja lakini niemsoma mawazo yenu kabisa.....

Kuhusu suala la kupima hii joint itakuwa kwa members only that means kila member na mfanyakazi pia watapaswa kupimwa kila aina ya ugonjwa kisonon,kaswende,gonorea you name it.... siyo kama mtu anaingia tuu kiholela....

asanteni!
 
Mimi pamoja na kwamba sichagui biashara, lakini kikwazo kikubwa ni uhalali wake kisheria na kijamii kwa muda huu. Ijapokuwa kwa maana ya wateja unaweza kuwapata wengi, nina shaka watu walioko kwenye mfumo wa serikali bado hawajawa na mawazo ya ki hivyo (enzi za Mwalimu) na hivyo kukubaiwa itakuwa ngumu, vile vile kwa wananchi wa kawaida.

Zaidi zaidi utakuwa ummempa shigongo and co a foraging ground for news..si unajua tena.?
 
Ndiyo maana inahitajika change...ili vijana waingie kwenye system...si unajua wazee hawajui hvi vitu ..its a great business kwa kweli na itaingizia serikali hela nyingi sana au kuwe na kitu kama casino huk unaweka every kind of entertainment...wee angalia jamaa wa play boy Heff anavyotengeneza mahela...its all abotu money and plesure man,,...
 
Before you go any further,try to find out if the law allows this!!!!!!!!

You might find yourself landing in jail!

Currently, the law does not allow that, may be she try something else.
 
Kidogo unanikanganya, umesema the bizy is for bachelors and bachelorette, na ni for cash, NO SEX, ni macho tu kufanya kazi! WHY TESTING kwa wateja au watoa huduma wako (Strippers?) Au umegundua kwamba since kuna mmoja umejibu kwamba it's more about making lots and loads of cash, so cash lazima itapitiliza na kununua au kufuta kazi ya macho kufanya kazi?

Ninachojua hizo clubs MOSTLY huwa na rooms, kwa anayeshindwa kwa macho vyumba huwa ni kimbilio though ni a bit expensive ili ku-discourage, though mtu anaeenda kwanza huwa amejiandaa, so cash kununua anachotaka huwa si issue!

Kwanza Kelly kumbuka au jua target group yako for the bizy ni watu wa aina gani? Ni zaidi ya bachelors and bachelorette, ina-involve stressed guys (married and unmarried), "lifeist", etc, na ndo huwa watumiaji wazuri!

Otherwise its a capital intensive bizy, if u r really into it, make cash babie!

BTW Psalm 23:1-10 inaendana na hiyo bizy?
 
Makindi.......siyo kila strip inaruhusu ku touch au kuondoka na striper....yeah i know kuna private room na hizo siyo kwa kuchukua striper na ukafanyane naye hizo ni for different reason....i don;t want to name what kind ila as a grown man utajua.....

of course my stripper will target all kind of people ila ili kutokuleta lawama kwenye ndoa za watu hadi kuvunjiwa inabidi useme mainly for bachelor and bachelerotte....i know huwezi kumkatalia mtu anataka kuwa member its all about making monnie...kuna wale high profile ambao watataka private room (hayo ndiyo atumizi ya private room)

hahaha Psalm 23:1-10 haiendani nayo ila ukiwa unafanya business lazima kumtanguliza mungu kwanza....and that is my MOTTO....

And thank...naona tupo pamoja mwanawane
 
Hii ni idea nzuri and unique, lakini fuatilia kwanza kwanini JJ club pale Kinondoni block 41 nyuma ya Best bite ilifungwa. Nafikiri hapa Bongo hatuna, sijui kwa majirani zetu!

Nyumba ya sanaa kuna mgogoro, NMB Bank wakishirikiana na Mirambo Properties (NIC party in South Africa) owner of 50Milambo property wanataka kuingia JV na Nyumba ya sanaa Ltd na kuweka ghorofa kumi. at the same tym kuna prospective party mwingine alikuwa anataka kujenga ghorofa 30 na akawa ashasaini JV agreement lakini akapigwa chini kwa sababu ANC na NMB wana backup, technical know who, e.t.c.. Pitia kidogo hapa ujionee..........

http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13505
http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13885
http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13590

Kuhusu kupata sehemu nyingine hebu check na Expertboker at 0754 85 82 45, ana vitu vya ukweli na ni mtaalam wa ku-advise!

wakuu
50 mirambo sio RA
 
kwa m,acheni ni tofauti kidogo,niliwahi kutembelea peobiiz na langata Nairobi pale kenya kiingilio kilikuwa ni ksh200 bei ya bia ni ksh 300(bei ya kawaida mitaani ni ksh80).wanawake wanacheza hawajavaa nguo,wanawake wanafanya sex hasdharani unaruhusiwa kushika nyeti zao kwa bei wanayoitaka hivyo burn ni tofauti na kwa macheni'that is just night club like all other clubs you can find a woman to buy for one night stand but that is unofficial'
 
Natafuta Location ya kufngua strip and Gentleman club in Dar!....Kuna mtu ana idea ya any great location?...Nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu ha zamani sheraton hotel/jumba la sanaa...

business mind hebu nipeni idea ya great location ya kufanya vitu kama hivi nahitaji sehemu iliyotulia haina fujo wala vibaka...High quality...maana target ya hii joint nayotaka kufungua ni kwa watu poteantial customer wenye hela zao ambao wanajua kutumia na kutoa tips ya maana......

xoxo

Vp dada hii biashara uligaili ukaamua kutangaza NIA kwa NN?
 
Back
Top Bottom